Hii dhana ya maslahi ya chama itatufikisha pabaya!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii dhana ya maslahi ya chama itatufikisha pabaya!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Nov 18, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Ndugu watanzania wenzangu naomba niwakumbushe hii dhana tunayoenda nayo yakusema nikwa maslahi ya chama itatufikisha pabaya watanzania na laana ya watanzania itawaangukia nyinyi!mimi binafsi Nashangazwa kuona watu wazima mnapeleka mambo kihuni huni kwakuwaburuza watu kana kwamba hawaoni hawana macho?jamii ya watanzania iliyowapa dhamana ili mtuwakilishe mnafanya mambo kwa maslahi yachama?huku hali mkijua mnafanya sivyo?mnakotupeleka siyo kesho hii nchi mkiitumbukiza kwenye machafuko nyie ndo wakulaumiwa!msitegemee kutumia dola kulinda maslahi ya chama mtatumia dola na mtaua watu tayari nchi mliyokuwa mnajivunia amani itakuwa imeingia doa kaeni mtafakari swala lakutanguliza maslahi ya watanzania kwanza ndiyo yafate ya chama!
   
Loading...