Jamani wana jamiiforums lile sakata la kusimamishwa kwa ugawaji wa ardhi kwa vigogo mafia kumeishia

Abdul Mwanji

New Member
Nov 17, 2011
3
1
Wadau mko wapi tulichangie hili?hao vogogo walopewa hivyo viwanja wako wapi?waanikwe tuwajue then tuwachambue wana manufaa gani kwa wakazi wa mafia?maana anatajwa Dr Dau tu kwani yeye kapewa viwanja pia?
 
Back
Top Bottom