Nilivyomjua Dr JK Baada ya Hotuba kwa wazee wa Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilivyomjua Dr JK Baada ya Hotuba kwa wazee wa Dar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lord, Nov 18, 2011.

 1. Lord

  Lord Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndugu zangu, Leo baada ya kupoteza muda wangu mwingi kumsikiliza Mh Dr JK nimepata kumfahamu zaidi na namna anavyoendesha nchi yetu.

  1. Raisi wetu ana ''below average thinking capacity'' kama sitakosea masomo yake ya degree ya kwanza alipata GPA ya 2.0 hadi 2.5.

  2. Dr JK anaongoza hii nchi kwa kutumia madesa na hii ni hatari sana maana hafikirii kufanya tofauti na kilichofanywa nyuma hata kama kuna haja ya kufanya hivyo.

  Mwenye mengine unakaribishwa kushusha....

  Nawakilisha
   
 2. m

  mayoya Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  yaani uko sahihi.
  Huyu jamaa hana mda wa kujisomea wala kuongeza maarifa atawezaje kutengeneza kitu chake?
  Sasa jamani what is the way forward?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  He doesnt know that he doesnt know.....

  Kubishana nae ni a waste of time...
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  kwanza on hiyo Dr. kwenye thread yako. Ni makosa kuanza na Dr. ikiwa hiyo ni shahada ya heshima.
   
 5. W

  Wababa Senior Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hana lolote huyu jamaa kuchekacheka tuu.
   
 6. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  kwa kweli leo,amevunja rekodi ya ujinga......eti hakuna wanovaa kaniki,wala hakuna tena watu wanaoishi kwenye nyumba za makuti...wanaofanya hivyo ni kwa kupenda....OMG
   
 7. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi ninavyom-rank huyu anayeitwa rais kikwete naomba nisichangie kabisa ili kuepusha uwezekano wa kupigwa ban humu jamvini.
   
 8. fige

  fige JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukijisikia uharo huna budi kururuhusu utoke na ndio inavyokuwa
   
 9. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wewe, ni kweli amesema hivyo? Ndo maana hajui kwa nini watanzania ni masikini ama anajua na wao wanajitakia!
   
 10. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...ni raisi ya wasee bana. Si naona naongea na wasee ya saridalama! Shee!!
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hii hotuba yake imeniacha hoi unalinganisha uchumi wa Tanzania na nchi kama Spain, halafu unalinganisha inflation ya Tanzania na Kenya na Uganda halafu anakuja kusema sisi ni afadhali wakati nchi hizo ndio zile zile zenye uchumi zoofu pia, it was wastage of time and resources inatia aibu sana i feel pity he doesn't know what he doesn't know
   
 12. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Alipata GPA ya 2 mpaka 2.5? Wewe una matatizo kuliko hata unayemjadili. Hivi pale UDSM wale wanaongoza pale ni maprofesa. Wana nini cha ziada na GPA zao kubwa. Tatizo la Tanzania sio elimu za viongozi wetu. Hata mtu mwenye GPA ya 5 awe Rais linaweza lisitokee Jipya. Sisi tunachagu Watawala na wala sio viongozi.
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Jk bwana huwa anajichukulia kma mtoto wa mwisho yani kuna mtu anamfanyia kila kitu yeye ni kufuatisha tu... Nalog off by washawasha
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo mkuu unatoa maoni gani baada ya kulijua hilo..karibu
   
 15. King2

  King2 JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  HUO UDOCTOR ALIUSoMEA WAPI? HEBU ACHENI KUTUMIA TITTLE ZA WATU VIBAYA!
   
 16. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  We adore him. Think tank. Thanks
   
 17. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  hivi wale walioitwa na Rais ni wazee wa DSM au wazee wa CCM?
   
 18. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  huko kwao msoga nyumba za miti kibao.
   
 19. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,776
  Trophy Points: 280
  Ni mfungwa ktk gereza la ubongo wake mwenyewe.
   
 20. s

  sanjo JF-Expert Member

  #20
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kazi kwelikweli
   
Loading...