naomba mnisaidie picha za nyumba za makuti zilizoka Dar tumkumbushe mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba mnisaidie picha za nyumba za makuti zilizoka Dar tumkumbushe mkuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Nov 19, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wakuu nisaidieni picha za nyumba za makuti pale dar manzese,gezaulole,mbagala,kimbiji nk ili mkuu wetu ajue wala si watalii au fashen ni ugumu wa maisha tu
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaa mkulu kashasema kwamba sasa ni Fasheni kwa hapa dar
   
Loading...