Hatimaye Wale Panya na Mende wa Libya Wamemkamata Saif Al-islam Khadaffi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye Wale Panya na Mende wa Libya Wamemkamata Saif Al-islam Khadaffi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tetere Enjiwa, Nov 19, 2011.

 1. T

  Tetere Enjiwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari ndio hiyo jamani, wale wapiganaji wa libya ambao walidharauliwa na kutukanwa na khadaffi wamefanikiwa kumtia mikononi mwao mtoto wa khadaffi, na wanampleka tripol kwa ajili ya kumshitaki.
   
 2. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  je wamemkameruni ? Au wanampeleka kama bi harusi
   
Loading...