Wabunge wa ccm na cuf wajikosoa bila kukosolewa ni ishara gani kwa watanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa ccm na cuf wajikosoa bila kukosolewa ni ishara gani kwa watanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWANAKASULU, Nov 19, 2011.

 1. M

  MWANAKASULU Senior Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimefuatilia sana bunge la leo kwenye sakata la Jairo kwa akili ya kawaida hata bila kutumia Calculator imejionesha wazi kwamba Wabunge wote wa CCM na CUF walishawishiwa au kurubuniwa wapitishe mswada wa sheria ya kupata katiba ya tz ambapo pengine leo wamejutia.Hili ni kwa sababu tu mbali na Nyundo[hoja]zilizopigiliwa na Makamanda wa CDM kuhusu Jairo ni dhahiri wabunge wa CCM wamejikosoa kwamba mtu mmoja ni hatari kwa taifa akipewa madaraka mkubwa hili limeongelewa na wabunge wengi wa CCM mfano ni Anne Kilango Namnukuu.Mfumo wa serikali ya CCM ndio mbovu kwani serikali imewalea Makatibu wa wizara kuwa na madaraka makubwa mno ndio maana haya yametokea ktk wizara ya nishati na madini pia yataendelea kutokea hata kwenye wizara zingine .Hoja yangu ni kwamba kama Anne Kilango na wabunge wengine wa CCM ndo wametoka usingizini kupitia sakata la makatibu wamegundua kuna athari nyingi kwa taifa mtu mmoja akibebeshwa majukumu makubwa kama aliyobebeshwa mfalme **** wao kwenye swala la katiba je Anne Kilango na wenzake wamejifunza lipi kwa makatibu wenye madaraka makubwa? au Kikwete yeye ni Mungu mtu ndiye anapaswa awe na madaraka makubwa kwenye katiba na hatokosea kama makatibu wa wizara wanavyofoji? je ni kweli wabunge wa CCM hawajui kama Kikwete ndiye chanzo cha utendaji mbovu coz ana madaraka mengi sana ya uteuz ktk nafasi mbalimbali?na Anne aelezee wazi kwanini alicharuka kama mbogo juu ya kauli za wanaharakati,wabunge wa CDM,NCCR na wanazuoni walivyokosoa kwamba mswaada huo umempa madaraka makubwa rais ambapo ni hatari kwa uhai wa Taifa letu.Ushauri wa bure kwa wabunge wa CCM na CUF kwa kuwa pengine huo mswaada umepitishwa na SIRIKALI nyie mkiwa Usingizini basi njoni mtuunge mkono tutakapoingia barabarani kpinga mswaada huo.Naomba kuwasilisha.
   
 2. norbit

  norbit JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 446
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Tatizo cdm walitoka nje, walikua watumie wakati ule kuelimisha umma wakiwemo wabunge wa ccm na cuf
   
 3. W

  We know next JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Very good observation and critic....tujibu hoja..
   
 4. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,085
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Nyambafu! wabaki kuhalalisha ujuha? Bora walitoka magamba waumbuke.
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,043
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Nilona hiyo kitu.
   
 6. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wabunge wote wa CCM na CUF ni wanafiki wakubwa!!
   
Loading...