Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,092
nimefuatilia kipindi cha tuongee asubuhi na nimesikitishwa sana na tabia ya Godfrey Dilunga anavyotumia vibaya weledi (profession) wake. Ameingia kwenye kipindi na mentality ya kutaka kutetea serikali kwa makosa yake, kama:
1. Kutetea serikali kuchelewesha muswada. Dotto Bulendu wa StarTV kamjibu vyema, mbona redion hawakutoa? Kipi kinafikia hadhira kubwa?
2. Kamkosoa Ansbert Ngurumo kwa kuwa na mentality ya kutaka kuwa neutral
3. Kutetea makosa ya spika kutumia ubabe kwenye kamati na kuharibu mchakato
my take:
'CALL A SPADE, SPADE and not A BIG SPOON'