CHEDEMA kufutwa, Kibamba, Nkya na Wanaharakati kufungwa; Warema kasema leo Bungeni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHEDEMA kufutwa, Kibamba, Nkya na Wanaharakati kufungwa; Warema kasema leo Bungeni!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Clean, Nov 18, 2011.

 1. M

  Mr. Clean Senior Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanajamiiforums,

  Kutokana na kifungu (19) kilichoongezwa katika mswada kama alivyosoma mwanasheria mkuu wa CCM-warema, ni kuwa atakayepinga au kuzungumzia maamuzi ya mswada ulopitishwa bunge la CCM leo, adhabu yake ni miaka mitatu jela au faini milioni tano!

  Well n' good, wanaharakati wetu na chadema mtasalimika kwa hili? Au ndo mambo yashakuwa level hivyo?

  HECHE, KAFULILA, KIBAMBA, bado j'2 kitaeleweka?

  .....wameshika mpini je atakayethubutu kushika makali ya sime nani.....?

   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  CCM wana hofu gani hadi waje na na vitisho ?Hivi hawa CCM wanadhani wanamkomoa nani na watoto wao au hata wajukuu wanawaweka wapi baadaye ?
   
 3. p

  politiki JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Hicho kifungu ni illegal kinapingana na katiba ya sasa inayompa mamlaka mtanzania kutoa maoni yake kwa uhuru na kama kipengele hicho kipo kweli basi moja kwa moja tumeanza na mguu mbaya kwa kuwafunga watu kutoa maoni yao wakati mswahada safi ni ule unaotoa uwanja mpana wa wananchi kutoa maoni yao na siyo ule ambao UNA LIMIT FREE SPEECH KWAHIYO TUNA KILA SABABU ZA KUTOKA MTAANI KUPIGA MSWADA KWA MAANA UNAANZA KWA KUTUNYANGANYA OUR BASIC RIGHT OF SPEAKING AGAINST WHAT WE THINK IS WRONG.
   
 4. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Mwak huu haki ya nani
   
 5. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nitakuwa wakwanza kufungwa!
   
 6. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hilo bomu tayari limeshatengenezwa CCM wasubiri litakapo walipukia hapo baadaye
   
 7. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  CCM si na wao walisema watawaachia wananchi waamue wenyewe, sasa hofu yatoka wapi. Wanataka kutuvurugia nchi hawa ccm, WATANZANIA TUSIKUBALI.
   
 8. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Wanaogopa kutawazwa kwa vijiti kama Gadafi!
   
 9. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Usiwe na wasiwasi mwanakwetu, wapo wataalamu watakao fungua kesi mahakamani kupinga kifungu hicho cha kibabaishaji.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  CCM wasidhani kwamba wananchi wa Tunisia, Libya, na Misri walipoandamana hapakuwa na katiba. ilikuwepo katiba tena ilikuwa inapinga maandamano ya aina yoyote, na ilisomeka kwamba yeyote atakayeandamana, lakini watu waliandamana na wakawaondoa wahafidhina.
   
 11. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  Hawa dawa yao ni kupambana nao hadi mwisho!Haki yetu haiwezi kunyang'anywa kirahisi hivyo!!!!!!!!!!!!
   
 12. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mie naona kama wamechelewa kuipitisha hiyo katiba na kuweka vifungu uchwara. Waipitishe tuone ni magereza ngapi hapa nchini zitakuwa sustainable na wafungwa watakaotokana na kukiuka hiyo katiba. Hata mimi na familia yangu tutakuwemo kwa sababu ninaipinga hata kabla hawajaipitisha.
   
 13. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mchakato wa katiba ya kenya ulishauriwa na Tanzania! kwa mujibu wa JK!
   
 14. m

  msabato masalia Senior Member

  #14
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bakwata watatoa tamko kesho pale manzese kwa mtogole.
   
 15. Kinyamagala

  Kinyamagala Senior Member

  #15
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa sisi wapigania haki siku zote sheria za kipumbavu huvunjwa kwa gharama yoyote hata kama ni jela na hata kifo.Mwisho ukweli utashinda.
   
 16. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Hivi jamani nauliza chama kingine kikiingia madarakani halaf kianze kuwanyanyasa ccm na hyo katiba waliyoitunga wao itakuwaje??? Wao ccm wana uhakika gani kuwa watatawala tanganyika maisha??kuna siku tu tutapata uhuru!!
   
 17. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wanaogopa kutawazwa kwavijiti kama Gadafi.
  haa! haaa! kina nani hao?
   
 18. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DHULUMA haijawahi kuishinda HAKI kitaeleweka tu mbele ya safari
   
 19. K

  Konya JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hii nchi inatia hasira!! ipo siku tutajua nani mtawala na nani mtawaliwa
   
 20. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #20
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,911
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Wamejiandaaje sasa kupokea wafungwa wengi? Watakaoupinga muswada huo!
   
Loading...