Ngereja atasubiri kuwajibishwa? Au ataachia ngazi kwa ridhaa yake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngereja atasubiri kuwajibishwa? Au ataachia ngazi kwa ridhaa yake.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumakidogo, Nov 19, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Rais analo jukumu la kumuwajibisha Ngereja. Lakini je? Waziri huyu atasubiri kauli ya rais kumpoka kiti badala ya yeye mwenyewe kuchukuwa maamuzi ya busara kuachia ngazi! Ikiwa JK atapiga kimya kama kawaida yake, ni nani atamfunga paka kengele?
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  atasubiri kuwajibishwa. Nalog off
   
 3. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bongo hatuna utamaduni wa kuwajibika! Atajitokeza kama wenzie na kusema "Sijiuzulu ng'o"...nyie subirini tu!
   
Loading...