Jk si dictator, he is rather coward | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk si dictator, he is rather coward

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bramo, Nov 19, 2011.

 1. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,457
  Likes Received: 2,505
  Trophy Points: 280
  JK (Mkwe.re) hana sifa ya kuitwa Dictator, anajaribu kusema watu wanamuita Dictator simply for political Sympanth,hakuna aliyemuita JK dictator, bali Mamlaka makubwa aliyonayo ki Katiba, anaweza kuwa Dictator (Si JK Lakini, may be Ben angeweza0).
  Huyu Bwana ni Muoga sana, ukimsikiliza kwa makini anavyoongea utagundua tu.
  Kitendo cha jana kuongea bila kuwa na sesssion ya Maswali kwake inadhihirisha how coward he is, Mtu mwingine anaweza kusema JK Dictator, hataki kuulizwa maswali, Jibu ni kuwa, ni uoga ndio unamsababisha awe hivyo.
  Pengine ndo maana anapenda kuongea na Wazee wachovu wa Chama chake ambao hawawezi ku question hata akiwaambia watembee uchi
   
 2. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Embu ngoja tuone waliosema wamempa siku mia zikiisha watamfanyaje?hivi ni tatizo la rais au washauri,mawaziri,na watu wanaomchagua na chama chake?kwa sababu kama hana uwezo basi hata wanaomzunguka hawana?mi nafikiri yeye kama yeye anaweza asiwe na tatizo lakini watendaji wake wengi ni hovyo,
   
 3. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,457
  Likes Received: 2,505
  Trophy Points: 280
  Tatizo la hii nchi,watu wengi especial CCM, wanajaribu kupotosha kwa kumtenga JK na Matatizo yote,trying to separate JK from all the shits we are facing na kujaribu kutupia lawama wasaidizi wake, tunakosea Jaman, the truth, the fact, Kiini cha matatizo yote ni Yeye JK, na wala sio wasaidizi wake, hao wao wanatumia Weakness za kufanya mambo yawe worse....
   
Loading...