Mswada wa Katiba Mpya toleo jipya,wasomi tuchambulieni !

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006
Nipokea huu mswada wa katiba mpya ,wazalendo tuujadilini tuvishungue vifungu kimoja baada kimoja kama unatupa furasa nzuri ya kutoka maoni wananchi.
Tusitumie maneno ya kuropoka ropoka ispokuwa tusome kwa umakini sana tuujadili.
Fungua down below hapo
Scribd
 
Ukitaka kuona huo mswaada fungua neno ( scribd)

Document ipo very complicated katika attachment ambayo nimeambatanisha.
 
mswada hauonekan vizuri it seems umekuwa scanned ndio maana, kama una pdf doc jaribu kuupload tena, maana nilivyoufungua hata kuprint imeshindikana, alafu uko verison ya kiingereza tu?
 
Back
Top Bottom