Hotuba ya Rais kwa taifa kupitia wazee inarudiwa TV tumaini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya Rais kwa taifa kupitia wazee inarudiwa TV tumaini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Nov 19, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kwa wale ambao hawakupata nafasi ya kumsikiliza Rais jana waangalie marudio ya hotuba yake inaendelea sasa hivi Tv Tumaini. Baada ya kuangalia na kumsikiliza kwa watakao muelewa walete hoja na ambao hawatamuelewa ni bora wanyamaze japo haki ya kuchangia humu ni ya kila mtu.
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  rais kwa familia yenu! Mods! Naomba msaada wako twafwadhali! Futa hii thread! Kwn inanichefua roho kbs!
   
 3. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Inarudiwa pia TBC,kwa wale washabiki wake waangalie!!!!!kwangu mimi ni kinyaa tupu:A S embarassed:
   
Loading...