Nani anayefaa kuwa rais ajaye kati ya makada hawa wa CCM, CHADEMA

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Naitizama hali ilivyo. Nalazimika kuona kuwa kuna kila haja ya kujadili mapema, ni nani anayefaa kuwa rais wa awamu ijayo. Kwa upande wa CDM sina mashaka, hata nikiweka hawa watatu wanatosha kuwa na uzani wa kutosha

1. Dk SLAA
2. FREEMAN MBOWE
3. TUNDU LISSU. Kwa upande wa CCM, Hapa ntaweka wengi kwani nina mashaka kidogo.

1. JOHN MAGUFULI
2.EDWARD LOWASA
3. MARC MWANDOSYA.
4. BERNARD MEMBE
5. WASIRA
6. IBRAHIMU LIPUMBA (CCM B) 2. HAMAD RASHID (CCM B) hawa wa chini nimewaweka kwa makusudi katika mkumbo kutokana na msimamo wa chama chao. Kama wameridhiana visiwani, hawashindwi kuungana hata bara. Hayo ni majina ya wanasiasa wanaosikika zaidi.

Ni nani hapa anafaa kuingia magogoni awamu ijayo?
 
Uchaguzi ni mwaka 2015. Huku ni mbali sana kwani lolote linaweza kutokea kuanzia sasa hivi mpaka 2015.
 
Du kaka mbona mapema sana kutabiri rais ndiyo kwanza mwaka wa kwanza umefika tangu tutoke uchaguzi mkuu!!Vp bwana mbona una haraka.
 
kuchukua nchi unafikiri ni lele mama?kwa yeyote anayetaka ajipanga vizuri wote waliogombania chaguzi zilizopita hutawataki.Nalog off
 
Naitizama hali ilivyo. Nalazimika kuona kuwa kuna kila haja ya kujadili mapema, ni nani anayefaa kuwa rais wa awamu ijayo. Kwa upande wa CDM sina mashaka, hata nikiweka hawa watatu wanatosha kuwa na uzani wa kutosha

1. Dk SLAA
2. FREEMAN MBOWE
3. TUNDU LISSU. Kwa upande wa CCM, Hapa ntaweka wengi kwani nina mashaka kidogo.

1. JOHN MAGUFULI
2.EDWARD LOWASA
3. MARC MWANDOSYA.
4. BERNARD MEMBE
5. WASIRA
6. IBRAHIMU LIPUMBA (CCM B) 2. HAMAD RASHID (CCM B) hawa wa chini nimewaweka kwa makusudi katika mkumbo kutokana na msimamo wa chama chao. Kama wameridhiana visiwani, hawashindwi kuungana hata bara. Hayo ni majina ya wanasiasa wanaosikika zaidi.

Ni nani hapa anafaa kuingia magogoni awamu ijayo?
Huyu ni bora tukamwombea apone haraka na tusimtie majaribuni "" AMENI""
 
Ingekuwa vema zaidi kama tungejadili sifa za mtu anayefaa kuwa rais wa tanzania katika maqzingira tulimo, halafu ndo tutajua nani anatufaa
 
Naitizama hali ilivyo. Nalazimika kuona kuwa kuna kila haja ya kujadili mapema, ni nani anayefaa kuwa rais wa awamu ijayo. Kwa upande wa CDM sina mashaka, hata nikiweka hawa watatu wanatosha kuwa na uzani wa kutosha

1. Dk SLAA
2. FREEMAN MBOWE
3. TUNDU LISSU. Kwa upande wa CCM, Hapa ntaweka wengi kwani nina mashaka kidogo.

1. JOHN MAGUFULI
2.EDWARD LOWASA
3. MARC MWANDOSYA.
4. BERNARD MEMBE
5. WASIRA
6. IBRAHIMU LIPUMBA (CCM B) 2. HAMAD RASHID (CCM B) hawa wa chini nimewaweka kwa makusudi katika mkumbo kutokana na msimamo wa chama chao. Kama wameridhiana visiwani, hawashindwi kuungana hata bara. Hayo ni majina ya wanasiasa wanaosikika zaidi.

Ni nani hapa anafaa kuingia magogoni awamu ijayo?

JF tumevamiwa hakika si kawaida hii
 
Ukiona watu wanazungumzia urais mapema hivi ujue aliyeko madarakani ameshindwa kuongoza na watu wanatamani miaka yake iishe kesho.
 
Naitizama hali ilivyo. Nalazimika kuona kuwa kuna kila haja ya kujadili mapema, ni nani anayefaa kuwa rais wa awamu ijayo. Kwa upande wa CDM sina mashaka, hata nikiweka hawa watatu wanatosha kuwa na uzani wa kutosha

1. Dk SLAA
2. FREEMAN MBOWE
3. TUNDU LISSU. Kwa upande wa CCM, Hapa ntaweka wengi kwani nina mashaka kidogo.

1. JOHN MAGUFULI
2.EDWARD LOWASA
3. MARC MWANDOSYA.
4. BERNARD MEMBE
5. WASIRA
6. IBRAHIMU LIPUMBA (CCM B) 2. HAMAD RASHID (CCM B) hawa wa chini nimewaweka kwa makusudi katika mkumbo kutokana na msimamo wa chama chao. Kama wameridhiana visiwani, hawashindwi kuungana hata bara. Hayo ni majina ya wanasiasa wanaosikika zaidi.

Ni nani hapa anafaa kuingia magogoni awamu ijayo?

January Makamba is so smart,he deserves
 
Lazma 2anze mbali kutabili,mnataka tutabiri wakat bado cku 7?ila najckia kichefuchefu jina la wasira
 
Naitizama hali ilivyo. Nalazimika kuona kuwa kuna kila haja ya kujadili mapema, ni nani anayefaa kuwa rais wa awamu ijayo. Kwa upande wa CDM sina mashaka, hata nikiweka hawa watatu wanatosha kuwa na uzani wa kutosha

1. Dk SLAA
2. FREEMAN MBOWE
3. TUNDU LISSU. Kwa upande wa CCM, Hapa ntaweka wengi kwani nina mashaka kidogo.

1. JOHN MAGUFULI
2.EDWARD LOWASA
3. MARC MWANDOSYA.
4. BERNARD MEMBE
5. WASIRA
6. IBRAHIMU LIPUMBA (CCM B) 2. HAMAD RASHID (CCM B) hawa wa chini nimewaweka kwa makusudi katika mkumbo kutokana na msimamo wa chama chao. Kama wameridhiana visiwani, hawashindwi kuungana hata bara. Hayo ni majina ya wanasiasa wanaosikika zaidi.

Ni nani hapa anafaa kuingia magogoni awamu ijayo?

Una miaka 2 tangu umejiunga na JF, tuna miaka 3 kabla hatajafika kwenye uchaguzi mkuu. Tangu umejiunga na JF hadi sasa hatujapata KATIBA HALALI. Hatujui nani atafika huko 2015 kama katiba halali ya wananchi inayotokana na matakwa yao itakuwa haijapatikana. Kama hakutakuwa na katiba halali..that means no uchaguzi unaouzungumzia.
Kwa kifupi ni kuwa sasa hivi hatuna muda wa kuzungumzia mgombea 2015 wakati hatuna KATIBA YA WANANCHI.
 
Back
Top Bottom