Msanii anayejiita mtoto wa mkulima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msanii anayejiita mtoto wa mkulima

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by gayo, Nov 19, 2011.

 1. g

  gayo JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tumechoshwa na huu usanii wa mheshimiwa nyoosha wa kujidai mtoto wa mkulima na kulia lia hovyo kumbe hamna kitu.He is the worst PM in the history of Tanzania.Hivi mtoto wa mlkulima unamjua? Kwanza usituuzi!
   
 2. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,402
  Likes Received: 1,525
  Trophy Points: 280
  .......hao ndio magamba, wanatumia udogo wa fikra zetu kufanya watakavyo, huyo keshatupa jembe siku nyingi, si mtt wa mkulima tena, swali gumu kwangu hivi sasa huyu ni mtt wa nani? ni swala la wakati tu
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ananyumba 3 dodoma anashamba alilolipata kimagumashi hekta 30 nje kidogo ya mji wa dodoma zuzu anashea sumry bus service,anashule ya secondary morogoro
   
 4. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Heh tayari keshacontaminate kiasi hicho, si majuzi tu alikuwa na m25 mpaka mrema akasema yeye anazo zaidi ya hizo? Ngoja nianze movement za kuwa mwanasiasa maana tulionao wanatufilisi bora tuingie wenyewe!
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mtoto wa mkulima!Majina mengine tunasanifiana tu.
   
 6. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nadhani tunamwelea vibaya; yeye ni mtoto wa mkulima lakini yeye si mkulima ni fisadi.
  mimi ni mtoto wa mkulima pia lakini mimi sio mkulima ni mtumishi wa uma
   
 7. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Alaniwe mtanzania anaemita kwa hilo jina... simpendi simpendi hakuna kiongozi anaeboa kama huyo SI-M-PENDI mkuu hiyo a.k.a ndio inazidi kuniudhi... sura kama masaburi.. anaboa bana:eyebrows:
   
 8. k

  kabuga Member

  #8
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du! kumbe kunamkulima sasa yeye analima wapi?
   
 9. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Nadhani kuna watu ambao wanaleta unafiki na kujiita ''Watoto wa Wakulima''wakiwa na maana kadhaa. Mojawapo ni ili jamii iwaonee huruma na kuwaamini kwa kuwapa nafasi za juu za madaraka.
  Na hii ni kwa sababu mkulima wa Tz anachukulika kama mtu ambaye ni maskini.
   
Loading...