Namkubali sana mama Anna Kilango Malecela

mnyausi

Member
Aug 22, 2011
7
0
Mama huyu ni mfano wa kuigwa kwa wabunge wengine, akiwa bungeni anaongea kwa kujiamini na haogopi.una maoni gani kuhusu ujasiri wa mama huyu
 
hana lolote jimbo lake hakuna barabara la lami hata moja ..sijui anafanya nini bungeni..... Aondoke huyu mama...............
 
That's people thought hadi pale alipoanza kula matapishi kwa ushirikiano mkubwa na Stella Manyanya. Jana alikuwa anamtetea Ngeleja wakati mwezi July wakati wa bajeti alikuwa anasema hafai!
 
mnafiki tu yule anauma na kupulizia, hatma yake inategemea zaidi kujikomba kwa wakubwa na wala si weledi wake
 
Imani imenipungua sana kwa haka kamama. Ni kelele tu zinakafanya kawe famous. Nimekaweka kwenye kapu moja la magamba. Ukifuatilia matukio ya hivi karibuni ya kisiasa yanaweza kukusaidia kuelewa ninachoongea.
 
Kilango hana lolote. Tabia yake ni kuachika kuachika tu. Leo hii ameamua ku-settle na Malecela kumbe anasubiri kurithi mali.
 
Nilimkubali siku za nyuma ila sasa hivi ni mnafiki huyu mama ni kigeugeu.
 
Kumbe we hujamgundua yule ni mwoga sana na hiyo ilithibitishwa jana wakati anatetea wale majambazi wa pesa zetu isipokuwa ile ni trick tu tena ya kitoto inayotumika na Magamba kutaka kuonyesha kuwa hata wao wanawapiganaji lakini ukweli hana lolote kama hvo jimbo lake lingekuwa ni indicator tosha yule gamba tu tofauti grade.
 
That's people thought hadi pale alipoanza kula matapishi kwa ushirikiano mkubwa na Stella Manyanya. Jana alikuwa anamtetea Ngeleja wakati mwezi July wakati wa bajeti alikuwa anasema hafai!

ngeleja aliongeza dozi ya "chai"
 
Mama huyu ni mfano wa kuigwa kwa wabunge wengine, akiwa bungeni anaongea kwa kujiamini na haogopi.una maoni gani kuhusu ujasiri wa mama huyu
Yaan umeingai tu jamii forums na kutoa post hii?yule hana lolote ni siasa za makundi tu ndo zinamsumbua
 
user-online.png
mnyausi

Today 14:41
#1 Junior Member Array

Join Date : 22nd August 2011
Posts : 1

Rep Power : 0

[h=2]
icon1.png
[/h]
 
Mama huyu ni mfano wa kuigwa kwa wabunge wengine, akiwa bungeni anaongea kwa kujiamini na haogopi.una maoni gani kuhusu ujasiri wa mama huyu

Tafadhali yakhee !!!! kuzungumzwa kwa wa Tanzania kuwa akili zao ni evereji sio sifa ya kujivunia isipokuwa ni masikitiko katika Taifa huyu mama anangome nyuma yake unazungumzia ukoo wenye jina kubwa katika CCM au siasa za Tanzania kama ilivyo kwa mumewe na yeye ndio hivyo hivyo kwa mana hiyo wanamuona kama gwiji la siasa na kumuogopa (waswahili wanamsemo unao sema Mbwa wa Bwana na yeye ni Bwana)
 
anaganga njaa kama wafanyavo wenzake..mzalendo wa kweli hawezi kuwa mbunge wa sasa.....i hate being MP of today.
 
Back
Top Bottom