Anna Makinda kuwa rais 2015.

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Najaribu kuuvutia picha muujiza huo. Ikiwa akagombea na kupenyezwa na chama chake. Tutaficha wapi nyuso zetu?
 
makinda raisi, au rahisi 2015.
Ila kwa nchi hii mambo ya kushangaza kama hayo yaweza kutokea,
Ila huko ni kupotea kabisa njia na kupoteza ramani.
 
Najaribu kuuvutia picha muujiza huo. Ikiwa akagombea na kupenyezwa na chama chake. Tutaficha wapi nyuso zetu?

am happy to hear this..kumbe akipitishwa tu na chama chake ni automatically anashinda urais. Basi tz hamna upinzani, kuna wapiga bla bla tu!
 
Waache wamuweke ndio mgombea watalia na kusaga meno maana itakuwa mwisho wa ccm milele.
 
Back
Top Bottom