WHAT DO WE KNOW ABOUT RIZWAN KIKWETE? is it AS SAIF AL-ISLAM GADDAFI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WHAT DO WE KNOW ABOUT RIZWAN KIKWETE? is it AS SAIF AL-ISLAM GADDAFI?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Nov 20, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Born in 1972, Saif (pictured right) is the oldest of seven children.

  He earned an engineering degree in Libya and a business degree in Austria before wrapping up his education with a master's degree and doctorate at the London School of Economics in 2008.

  His engagement in Libyan politics began in the 1990s, when he became the president of the Gaddafi International Foundation for Charity Associations.

  The organisation has acted as an intermediary in several disputes and helped lead to a rapprochement between Libya and the international community.

  He often acted as an envoy for his father's regime, and in 2002 and 2003 helped broker the agreement that saw Libya renounce its weapons of mass destruction program and begin its journey back into the international fold.

  He lobbied militants to release hostages, funded research at the London School of Economics, welcomed world leaders and Western intellectuals to his country and portrayed himself as a champion of economic and social reforms.

  In 2009, he aided talks in Britain that eventually secured the release of Abdel Baset al-Megrahi, the only man convicted in the bombing of Pan Am Flight 103 over Lockerbie, Scotland.

  A 2009 U.S. diplomatic cable released by the website WikiLeaks said his high-profile role as the public face of the regime to the West has been a mixed blessing for him.

  It added: 'While it has bolstered his image ... many Libyans view him as self-aggrandizing and too eager to please foreigners at the expense of Libyans' interest.'

  http://www.youtube.com/watch?v=vW0EaBynTUE&feature=player_embedded

  Nani anapenda kujizungusha karibu na Warembo hata kama ana Mke>

  [​IMG]

  Sasa anajifanya Muungwana, mapesa yote nje hawezi kuyashika anarudi kuwa Mkarimu

  [​IMG]
   
 2. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  atakamatwa kwa kuchafua anaowahofia kumzidi kete kisiasa na ufisadi. nitampa january msumeno kumkata shingo taratibu...atayarishe ndege ya kuendea mafichoni uharabuni au jeshi la kumlinda bagamoyo
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Yeah he did Run his father re-election; haijawahi kutokea kwenye historia ya Ulimwengu Mtoto wa Rais kuongoza kamati ya kumchagua baba yake cha ajabu ni

  1. Kulikuwa hakuna fedha zilizotengwa za Uchaguzi - zilitoka wapi hizo pesa?
  2.Ahadi zote alizotoa alikokwenda waziri wa fedha na yeye Ridhwani waliwasiliana? Ridhwani alijua serikali ina pesa ngapi Benki?
  3.Viongozi wengine serikalini walijisikiaje Kuona Mtoto na Mama yake kuongoza hiyo Campaign?
  4. Kwahiyo Kinana alikuwa kibendera cha kutunza wizi wa Familia ya Rais?


  Angalieni Nchi Gani Baba ameshinda Urais kwa Msaada wa Mtoto na Mama? hawajasema walitumia kiasi Gani cha Pesa

  Shame on Tanzanian's Sasa tunampa Cheo cha kuongoza Katiba Mpya ya Nchi

  * HUYU RIZWAN kaingilia Masuala ya YANGA, na kuchagua viongozi kiubaguzi ili kunufaisha Mhindi Rafiki yake
  HUYU Ndio aliyechafua UVCCM
  HUYU ndio aliyepewa pesa na LawFirm ya Masha kwenda Masomoni England wa masters akashindwa lakini Pesa imeingia Mfukoni
  HUYU ndie anasema anapenda kuendesha Magari Mazuri Mazuri Mjini Dar na kuvaa saa za watu za kupewa sio Zake??
  HUYU ndie Mshiriki wa Kampuni ya Mafuta Mwanza, Ukienda Mwanza hiyo Kampuni inalindwa hata na Mapolisi; it is a private company way Polisi
  HUYU ndie anahusika na Manunuzi ya UDA??

  PESA ziko wapi? Nje ya NCHI?
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  soon or later.......
   
 5. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huo ndo utamaduni wa kiaarabu, unamkumbuka udday saddam hussein aliyewahi kuwa the most feared guy in bagdad? au mdogo wake waliuwawa siku moja na majeshi ya waamerika? vipi mtoto wa hussein mubarak wa misri kabla ya mapinduzi ya nguvu ya umma, kule syria kuna assad aliyerithi uraisi kutoka kwa baba yake ameisha wachinja wasyria 3500 na bado anaendeleza upanga.

  Bora Jordan, Saudi na Gulf states wao wamekubali yaishe kwa kutawaliwa kifalme / kisultani. hapa kwetu tunao akina mwingi mtoto, karume mtoto, riz1, malima mtoto wote wapo kwenye mistari wa kwenda ikulu.

  Tatizo la hii culture ina underperform, inajinufaisha na hivyo kuleta madhara makubwa kwa jamii kwa kulazimishia mambo kwa mabavu, vitisho na uzushi na upendeleo. Sitashangaa hapo itakapokaribia 2015 wazee wa dar kuanza kudai mtukufu muungwana dr.dr.dr.dr. jk aongezewe muda wa uraisi kwa mazuri mengi aliyoitendea nchi hii wakati wa vipindi vyake viwili.

  Unakumbuka kampeni za kwenye 90's wakati mtufuku sana AHM anakaribia kumaliza muda wake? Walidai aongezewe muda na kama isingekuwa yule mura wa kure butiama hajafikwa na mauti na kulikemea hilo zengwe kwa nguvu zake zote, basi mtukufu sana angeliikwaa miaka mingine mitano na inawezekana bado angelikuwepo kitini au kumrithisha mtukufu mtoto yule anaetulinda tusipigwe na mabomu yetu wenyewe.

  Wakati mwingine mtu unashindwa kushangaa, nadhani ndo maana yule mura wa kure butiama hana mvuto kabisa kwa waungwana alichafua misheni lakini safari hii misheni ina nafasi kubwa ya kufanikiwa watu wenyewe wa kuipigia kelele ndo hao akina EL ambao wamechafuliwa hadi kwenye meno, uncle ben yeye na whiskey tu anaibuliwa kutoka huko pale jahazi linapokuwa limeyumba sana he is a useful idiot.

  Matumaini ya kututoa kwenye hii itikadi ya kisultani yako kwa upinzani lakini katiba ndo hiyo tena hairuhusu nchi itawaliwe na vyama vingine isipokuwa ccm peke yake. Usalama wa taifa, nec, polisi, JWTZ, magereza, JKT wote hawatambui kuwepo kwa vyama vya siasa nje ya magamba.

  Matumaini yanabaki mikononi mwa umma, wajitotelee kufa na wale watakaosalia wataiona nuru. Syria watu 3500 au zaidi wameisha lipa the ultimate sacrifice na ukombozi bado upo mbali.

  Tujiandae kulipa even zaidi ya wasyria kwa sababu sisi maisha yetu ni duni zaidi kuliko wao. Hatuna jinsi hali halisi inatulazimu tufanye hivyo
   
 6. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Its the matter of time, I m sure the watch are counting the remaining 19 second before the bomb explore. time will tell no matter sooner or letter
   
 7. S

  Spartacas Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ridhwan ajue nae siku zinahesabika unajua Ridhwan na baba yake wanapoona mambo yaliyotokea Libya kwa Gadhaffi na wanae watatu kuuawa Muttassim, Khamis Ghadhaffi, Saif Al- Ghadhaffi-Al- Arab na kukamatwa Saif - Al- Gadhaffi Al -Islam pia kule Misri kwa Mubarak na mwanae Gamal kutiwa mbaroni kunawaogopesha.

  Ndio maana baba kamshauri mwanae asijitokeze kwenye majukwaa ya siasa tena maana alikuwa anaudhi sana watu kwanza intelijensia yake iko chini nashangaa hata hiyo masters ya sheria aliipata vipi wakati kichwa ni cheupe hata katika kuongea utajua hana kitu.

  Eti alipewa uchifu wa Wanyakyusa kule Kyela kwa kutumia utaratibu upi? Iwapo mbunge wa pale au mkuu wa mkoa wa Mbeya hajawahi kupewa hiyo title?

  Najua Kikwete na familia yake hawajapenda kuona yaliyotokea Libya na Misri maana wanaona watu wanaona kuwa nguvu ya watu ni kubwa kuliko dola wao wakae mkao wa kula siku zinakuja
   
 8. G

  GAGAGIGIKOKO Senior Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MR.DASH 1asante sana kwa mawazo yako. Ni kweli nchi ilipofikia sasa ni pabaya zaidi.Kwa mfumo uliopo sina hakika kama ukombozi unaweza kupatikana kupitia sanduku la kura.

  Sisi kama umma Tunahitaji kufanya maamuzi magumu1
   
 9. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  We will see tomorrow what CCM will say about being Dictatorial
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...