Tundu Lissu ana A++ ya bunge

BMT

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
578
222
Wanajf naona mbunge wetu lisu anaendelea kuwaburuza wabunge wote wa bunge la tanzania.
Nimesukumwa na hoja ya kwamba ana uwezo wa kusimamia anachokisema(hateteleki),jana amenifurahisha sana pale alipokuwa ananukuu baba wa taifa kuwamaliza mafisadi jairo na wenzake.
Hivyo naaaamua kumpa A++ ya kazi nzuri
JE KUNA ANAYEBISHA???????KAMA WABISHA TOA SABABU
 
Alafu udokta wa kinafik hataki,anaebisha anamatatizo makubwa au atakua hajui anabisha nini kwakua ashazoea kubisha.LISU ni kwere hana mpinzani,.
 
The man is politically talented..
Lissu m1 ni sawa na madalali 1000.Jana kamtusua kiutamu hadi bibi ubaya akaguna.Lissu ni jembe la ukweli.Mkitaka mwulizeni kiwete
 
Rejao anabisha. Na hana sababu.

nazi inaongoza nchi, matikiti maji yanaongoza wizara. Bisha!!

sina cha kubisha hapa. Kila mtu anaweza kumrate mtu the way anavyotaka. Hiyo rating ni mpya machoni kwangu, siwezi kuipinga!!
 
sina cha kubisha hapa. Kila mtu anaweza kumrate mtu the way anavyotaka. Hiyo rating ni mpya machoni kwangu, siwezi kuipinga!!

Rejeo sinto kushangaa unapokubali yaishe kimya kimya kama mzee wako kingunge aliyeshindwa kuiabudu hotuba ya jk alipokuwa na wazee wa dar...taratibu utakuja tuu it's the matter of time
 
Naogopa tu kuvunja ile kanuni ya "name calling" km niliielewa ila wakupinga wapo kibao hapa ila ukweli wanaujua kuwa Lissu ni Kisu!
 
sina cha kubisha hapa. Kila mtu anaweza kumrate mtu the way anavyotaka. Hiyo rating ni mpya machoni kwangu, siwezi kuipinga!!
Waldhai ntoto wapendeza, kila nkiona chapisho lako mimate yanjaa n'domoni..nionee huruma mwendhio.
 
Lissu ni sayari nyingine kabisa kwenye mambo ya sheria,kamkimbiza mnyaa kwenye mdahalo mpaka aibu,mnyaaa kabakia kuimba mipasho kama kawaida yao na waume zao ccm.
 
Lissu ni mbunge wa mfano na tunu ya Chadema. Hata ukweli kwenye hotuba yake inasadifu hilo, ubishi wa Cuf ni ushabiki wa kisiasa tu.
 
uko sawa kabisa asilimia zote hiyo ndo Nyundo ya ukweli ya kupigilia SIRIKALI{serikali} ya magamba. na kuleta ukomboz kwa manufaa ya wengi.Mungu kamjalia kwelikweli.
 
Wanajf naona mbunge wetu lisu anaendelea kuwaburuza wabunge wote wa bunge la tanzania.
Nimesukumwa na hoja ya kwamba ana uwezo wa kusimamia anachokisema(hateteleki),jana amenifurahisha sana pale alipokuwa ananukuu baba wa taifa kuwamaliza mafisadi jairo na wenzake.
Hivyo naaaamua kumpa A++ ya kazi nzuri
JE KUNA ANAYEBISHA???????KAMA WABISHA TOA SABABU

punguza mahaba ndugu.. Huyu jamaa akishalambishwa tamu hutamsikia na uta-regreat ur words.. Wako wapi waliokuwa kama yeye??? Njaa mbaya mkuu. Mzalendo wa kweli hawezi kuwa mbunge wa sasa..
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom