Beatrice Shelukindo achakachuliwa?

kimpango

JF-Expert Member
Apr 24, 2011
600
716
Mhe.Beatrice Matumbo
Shelukindo Mbunge wa Kilindi(CCM) aliyejipatia ujiko kwa kuibua suala la wizara ya nishati na madini kujikusanyia fedha haramu kusaidia bajeti yao ipitishwe leo ametetea watuhumiwa wake wasijiuzulu eti kwa kuwa serikali nzima inanuka, anaonekana kujutia kuleta barua ile bungeni. Naye kapokea kamgao?
 
fedheha ya serikali ndani na nje ya nchi hataki kuonekana chanzo

anajivua lawama kwa J.K na CCm kwamba hahusiki kwa kujiuzulu kwa waziri/naibu wake
 
Jamani mbona mm nimemwelewa vingine??? Hawatetei, ila kasema kwa vile serkali nzima inanuka, wasijiuzulu. Hii ina maana ya kusema si hawa tu wajiuzulu, bali serkali nzima!!!
 
Sio suala dogo kurusha hoja kama hizo lazima uwe muoga kwa nchi isiyo na kinga ka tanzania...watu hawakawiikukugeuka. Ila nafurahi hoja za wachangiaji bila kujali itikadi kama kikwete akiaamua kuchange nchi kwa maoni haya tanzania inaenda next level kabisa
 
Mhe.Beatrice Matumbo
Shelukindo Mbunge wa Kilindi(CCM) aliyejipatia ujiko kwa kuibua suala la wizara ya nishati na madini kujikusanyia fedha haramu kusaidia bajeti yao ipitishwe leo ametetea watuhumiwa wake wasijiuzulu eti kwa kuwa serikali nzima inanuka, anaonekana kujutia kuleta barua ile bungeni. Naye kapokea kamgao?

wewe ni muongo mkubwa, watu tuko majumbani tunaangalia bunge, wewe unaangalia bunge gani?, Bi Beatrice Shelukindo ni kweli ametetea waziri na naibu waziri wa nishati madini wasiwajibishwe kutokana na mfumo wa utendaji ulivyo ndani ya wizara kwamba unampa katibu mkuu wa wizara mamlaka makubwa ya kufanya maamuzi ya kiutendaji bila kumshirikisha waziri, LAKINI kumbuka kwamba mtuhumiwa mkuu wa Bi Shelukindo alikuwa ni ndg. david kitundu jairo
 
Nakubaliana na wewe wote tu
https://www.jamiiforums.com
 
Mhe.Beatrice Matumbo
Shelukindo Mbunge wa Kilindi(CCM) aliyejipatia ujiko kwa kuibua suala la wizara ya nishati na madini kujikusanyia fedha haramu kusaidia bajeti yao ipitishwe leo ametetea watuhumiwa wake wasijiuzulu eti kwa kuwa serikali nzima inanuka, anaonekana kujutia kuleta barua ile bungeni. Naye kapokea kamgao?

Nahisi Ngeleja na Malima wamemkatia fungu nene ndo maana anawaonea aibu
 
Mhe.Beatrice Matumbo
Shelukindo Mbunge wa Kilindi(CCM) aliyejipatia ujiko kwa kuibua suala la wizara ya nishati na madini kujikusanyia fedha haramu kusaidia bajeti yao ipitishwe leo ametetea watuhumiwa wake wasijiuzulu eti kwa kuwa serikali nzima inanuka, anaonekana kujutia kuleta barua ile bungeni. Naye kapokea kamgao?

anaogopa sumu lakini watu kama hawa ni vigeugeu sana chamsingi katuonyesha watuhumiwa ni tumejiridhisha kuwa ni kweli tunawapiga chini wote nawalioimba siku ile kumpojea fisadi piga chini wote HALAFUNATAMANI SANA SHELIA YA CHINA NA KWENYE KATIBA MPYA LAZIMA IWEPO IV LEO TUNGEKUWA TUNAHESABU WATU WA KUNYONGWA TUNGEBAKI NATAIFA safi.
 
Mhe.Beatrice Matumbo
Shelukindo Mbunge wa Kilindi(CCM) aliyejipatia ujiko kwa kuibua suala la wizara ya nishati na madini kujikusanyia fedha haramu kusaidia bajeti yao ipitishwe leo ametetea watuhumiwa wake wasijiuzulu eti kwa kuwa serikali nzima inanuka, anaonekana kujutia kuleta barua ile bungeni. Naye kapokea kamgao?

umeonaeee. hata mimi namshangaa kumtetea ngele na mali. call a spade a spade and not big spoon. anatakiwa asirudi nyuma. kama halikuwa hajui impact yake sasa aijue. lazima waondoke hao.
 
shelukindo acha woga, kama Mama K....ngo!!! umeonyesha msimamo simamia!! A strong woman never surrender!!
 
Back
Top Bottom