Mbunge Shibuda wa Chadema amerudi CCM?

chigwiye

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
352
59
amini usiamini,ni jana Kikwete alipotua Dom kwa ajili ya vikao vya NEC,alipokelewa na makada wa CCM na kusalimiana nao.Nilishanga uwepo na kusalimiana na shibuda wakati wote walokuwepo hapo ni kadas wa ccm na kikwete amekuja dom kwa vikao vya kichama

shibuda.jpg
 
amini usiamini,ni jana Kikwete alipotua Dom kwa ajili ya vikao vya NEC,alipokelewa na makada wa CCM na kusalimiana nao.Nilishanga uwepo na kusalimiana na shibuda wakati wote walokuwepo hapo ni kadas wa ccm na kikwete amekuja dom kwa vikao vya kichamaView attachment 41703
Una uhakika hiyo picha ni jana kweli?
 
Mh haya tena maana hata Bungeni amewaonya CCM wakae macho watajaanguka kama hawakumpelekea mbegu za pamba (ni kada kweli?) au ni CHADEMA
 
Hiyo ni ya kweli, iko pia kwenye michuzi blog na Shibuda anaonekana kuwa viongozi wengine wa ccm! Kama CCM bado kinamtegemea Shibuda ili awasaidie kupambana na CHADEMA basi CCM ni wagonjwa kuliko tunavyodhani.
 
Duuuuh kuna watu wengine wanapenda kweli kujiingiza kwenye visanga visivyo na tija.
 
mkuu mbona unadhana hivo.... kuna tatizo la kumsalimia RAIS WA TANZANIA
 
d10.jpg

Mwenyekiti wa CCM Kikwete akipokelewa na safu ya uongozi wa Juu wa CCM
akiwapo Mbunge wa CHADEMA John Shibuda, November 19, 2011 mjini DodomaKabla ya kuongea na wabunge wa CCm

Mbunge wa Chadema John Shibunda akisalimiana na Rais Kikwete alipofika Dodoma kuongea na wabunge wa CCM kabla ya vikao vya CCM kuanza. Mbunge Shibuda wa Chadema akiambatana na uongozi wa juu wa CCM akishirikishwa katika hafla hiyo. Je ni usaliti kwa chama chake cha Chadema? Haya yametokea jana usiku kama inavyoonekana katika picha.
 
Huwa nawaambia watu si kila anayehutubia kwa jazba ni mpinzani wa kweli na ana nia njema ya kutusogeza mbele ila hawaelewi.
 
amini usiamini,ni jana Kikwete alipotua Dom kwa ajili ya vikao vya NEC,alipokelewa na makada wa CCM na kusalimiana nao.Nilishanga uwepo na kusalimiana na shibuda wakati wote walokuwepo hapo ni kadas wa ccm na kikwete amekuja dom kwa vikao vya kichamaView attachment 41703
KIKWETE ni Rais wanchi na Shibuda ni Mbunge wa jimbo la Maswa, wakisalimiana kuna ubaya gani, au kupeana mkono kunambadilisha kuwa CCM? Some times when you have nothing to say in your mind usilazimisha kuzungumza ulilonalo katika masaburi yako.
 
Huyu bwana aliwahi kujiita yeye ni Drogba wa siasa za bongo. Anaendeleza kipaji chake cha kuwa opportunist kwa michezo hii anayoifanya. Kwa ufupi, ni ngumu sana kufikiria mtu kama yeye atabadilika 100%. Anakumba utamu wa system aliyoitumikia maana inasemekana alikuwa very powerful enzi hizo zenj. Iweje aende sehem akanyamazishwe na watu?
 
Back
Top Bottom