Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Written by Mrfroasty (Ufundi) // 20/11/2011 // Makala/Tahariri // 8 Comments “Hakuna Sheria yoyote itakayopitishwa na Bunge la Muungano ambayo itatumika Zanzibar mpaka sheria hiyo iwe ni...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwa kweli watu wengi wanaoitakia mema nchi yetu walishangazwa na madai hayo na vitendo vya ndugu zetu hao. Hii si mara ya kwanza kwa nchi yetu kufanya zoezi la marekebisho ya Katiba au hata...
24 Reactions
205 Replies
16K Views
Kuna tetesi kwamba Bw. Ludovick Utoh amepoteza uwezo na ujasiri wa kuibua ubadhilifu wa fedha za serilkali na kuchunguza usahihi wa matumizi ya fedha za serilkali na mashirika ya umma kwa sababu...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Kukubali kwao muungano ambao wao walikuwa wanapiga zumari la pili (playing second fiddle) - 1964 Kama hiyo haikutosha walikubali kuunganisha vyama – yaani TANU (bara) na Afro Shirazi...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
19th November 2011Serikali imeshauriwa kutowapuuza wananchi ama kikundi chote kinachohoji mchakato wa kuandika katiba mpya ya Jamhuri ya muunganio wa Tanzania kwa kuwa ikiwapuuza itakwama mbele ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu watanzania wenzangu popote pale mlipo, wengi wetu wenye nia njema na nchi yetu tumefadhaishwa sana na namna mambo yanavyopelekwa kuhusu katiba mpya. Tanzania tunahitaji katiba iliyotokana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAKATI mfululizo wa vikao vya CCM vya Kamati ya Maadili, Kamati Kuu (CC) na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), vinaanza leo Mjini Dodoma, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali, Jaji Mark Bomani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
*Asema muswada waliopitisha unawagawa Watanzania *Ahoji uhalali wa NEC kusimamia kura za maoni *Askofu aonya wanaopotosha kuhusu mchakato huo Na Mwandishi Wetu SIKU chache baada ya Bunge...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni wanasiasa gani wanaojua kuropoka bila sababu (taja watano5)
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi sio mwanahistoria mzuri lakini ninaweza kukumbuka vitu vya kihistoria katika nchi yetu hususani wakati wa ukoloni. Wanahistoria watakubaliana nami kuwa Tanganyika ilitawaliwa na wakoloni wa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu wana JF,Wazalendo wa nchi hii na wote wanaoipenda Tanzania,kwanza nianze kwa kuishukru Jamii Forums kwa kuanzisha ukumbi huu ambao unatuwezesha hata walala hoi ambao hatuwezi kuingia Bungeni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Brigedia Jenerali Hassan Ngwilizi,MB (MLALO) Hivi anahabari kwamba mkandarasi wa barabara ya Kitivo- tewe anatengeneza barabara hiyo kwa viwangovya chini kabisa? Barabara hii imekuwa ikitengewa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mara baada ya JK kutangaza Baraza lake la Mawaziri, kulikuwa na maoni kwamba kulikuwa na mafungu matatu ya mawaziri aliowachagua; Kwanza ni wale ambao ilibidi tu awachague kutokana na jamii ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi Mh Rais husomi hata alama za nyakati ukajua kuwa Watanzania wameamka kwa sasa si rahisi kuwadanganya kama mnavyodhani. Nilikuwa nimemsikilza Selina Kombaini yule waziri wa sheria na katiba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahani wakuu ngoja kwanza nimalizie kucheka maana nimeisoma hii habari kwenye Nipashe ya trh 12/10/07 imeniacha hoi kweli kweli. okay ngoja uhondo kwa kukandamija habari kamili (kicheko...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Fri Nov 18, 2011 5:56pm GMT * Says new basic law to be adopted before 2015 * Opposition wants to curb presidential powers By Fumbuka Ng'wanakilala DAR ES SALAAM, Nov 18 (Reuters) -...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mswada wa mabadiliko ya katiba wapitishwa sasa.....Hii dharau na kupuuza kwa serikali nini matokeo yake? Bunge limepitisha na shangwe zasikika na vigelegele toka kwa wabunge wa viti...
1 Reactions
257 Replies
24K Views
Mihimili yote mitatu ya dola imetuhumiwa na Imani ya wanachi imekwisha. A) SERIKALINI -CAG ndo mkaguzi wa mahesabu ya Serikali. Ndo anayekagua kila kila idara na halmashauri zotte. Sasa naye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Richard Makore 20th November 2011 B-pepe Chapa Maoni Gavana wa Benki Kuu, Profesa Beno Ndulu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
hakika ni kweli nipo na mfanyakazi wa ofisi,ya CAG ananiambia JAIRO ni mtandao wa LUHANJO na wanamakampuni hewa mengi,kwa mfano ananiambia CAG Ripoti ya UDOM alichakachua k'bu kampuni yake...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom