Unakumbuka hili... La Uganda na Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unakumbuka hili... La Uganda na Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Nov 20, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine ni vizuri kurudi nyuma kidogo na kukumbuka tulikotoka labda tunaweza kujikumbuka kidogo.

  Idi-Amin-Tanzania1.jpg Idi-Amin-Tanzania2.jpg

  TULIKOTOKA.
   
 2. Companero

  Companero Platinum Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Vipi Mkuu, kwani tumevamiwa tena?
   
 3. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,971
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Dah, imekuwa zamani kidogo. Hiyo restaurant iliyopigwa kombora na ndege za Uganda ilikuwa inaitwa Sukumaland Hotel. Sijui kama bado inafanya kazi. Wenye nayo walipaswa kuitunza na kuifanya museum.
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  si unajua historia wakati mwingine inasahauliwa...? Ilikuwa katika kupita pita tu hapa na kujaribu kufikiria wale ambao tulisoma habari hizo miaka hiyo ilikuwaje? Fikiria leo unaamka asubuhi na kukutana na kichwa hicho cha habari cha kwanza au cha pili... Je watu wa Mwanza walikuwa wanaishi kwa hofu kiasi gani?
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kumbukumbu nzuri sana. Nikikaa nawaza if at all al-shabaab wanaamua kututembelea itakuaje? Wataaanzia wapi?
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mkuu MMKJJ: Bado sijapata mantiki ya tundiko lako hilo humu JF katika kipindi hiki -- ingawa ni kweli kwamba mwezi huu ni miaka 33 tangu matukio hayo.

  Sasa hivi tuna mjadala mkubwa sana jinsi nchi yetu inavyokwenda hovyo kuhusu uporaji mkubwa wa mali za fedha za umma na rasilimali za nchi -- hasa suala la Jairo-Ngeleja-Luhanjo na katika kampuni ya PAT. Hali kadhalika kuna mjadala wa Katiba, mjadala ambao serikali na chama chake CCM unaonekana kutaka kuuteka kwa vigezo kwamba wao ndiyo watawala kwa sasa hivi, kwa hivyo ni lazima washike usukani kwa hilo..

  Hivyo tundiko lako linaonekana kama ni kupoteza lengo, au?
   
 7. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  I have so far failed to find the link between Kagera War and ongoing domestic crises namely poor governance, economic woes, disputes over constitution composition etc.
   
 8. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  "apigwe nduli idd amin, apigwee"! umenikumbusha mbali sana
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Wow.. nitasaidia... chukulia adui mkubwa ambaye amevamia nchi yetu na kushambulia hadi uchumi wetu anaitwa UFISADI!...
   
 10. Companero

  Companero Platinum Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  kikulacho ki nguoni mwako
   
 11. CHIETH

  CHIETH Senior Member

  #11
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 12. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,567
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG]
   
 13. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,567
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Duh, Kumbe Style hii ya U-Dr. Imeanza sikunyingi maana hii ni Nov. 2, 1978, Nasubiri siku MKWEREE aseme na Nyerere alipewa akawa Dr. Nyerere kama Dr. Mkapa, Dr. Karume, Dr. Salmin Amour, Dr. Mwinyi????, Dr Riz 1, .....
  [​IMG]

  DR. NYERERE.JPG
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Aisee umenikumbusha zamani sana wakati naishi Tanesco Kidatu kikosi cha JWTZ che 661. Nakumbuka jinsi askari kambi nzima walivyokuwa na mishemishe muda wote wa vita, na walikuwa wakichukuliwa na yale magari yalokuwa yakiitwa UNIMOG, nadhani mnyakumbeuka wakuu. Ilikuwa noma sana, askari walitupiga marufuku kabisa kucheza mpira maeneo yote ya jeshi.

  Nimekumbuka mbaaaaaaaaaaaaaali na meeeeeeeeengi!
   
 15. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #15
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Madam Chieth mgonjwa dozi bado haijatoka kwa damu, si unaona inaanza kumrudia tena. Muonee huruma israel asije kuchukua kiumbe chake asubuhi asubuhi hii.
   
 16. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #16
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Labda anataka kuanzisha ukurasa wa zilipendwa!
   
 17. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #17
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Bila kufahamu shida za huko tulikotoka hatuwezi kujua raha za huko tunakokwenda!
   
 18. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #18
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  Kipindi hicho wasomali eti na wao walikuwa wanasimamia amani?

  Nimechoka,dunia imebadilika sana.

  Kuna pahala panasema mwalimu was waiting to "confer" with a peace convoy from Somalia on the Ugandan war.
   
 19. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #19
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM haijadai kushika usukani wa Katiba (nadhani tukowengi wazito wa kuelewa au tanaotoa tafsiri potofu kwa makusudi) Serekali, baada ya kumaliza kanuni (za kikatiba, kutokana na katiba tuliyonayopo) imeliruhusu Bunge kupitisha Mswada wa sheria juu ya kuwapa fursa Watanzania kujadili nakuja na maoni ya katiba mpya. Katiba ambayo mwisho wake itarudfishwa kwa wananchi waipitishe. Sasa hapa CCM imezukia wapi?
   
 20. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #20
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Tunaikumbuka ila Fax ya Mapenzi aliyotuma Idd Amini kwa Nyerere?
   
Loading...