CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Naomba nikukumbushe Maalim Seif na CUF yako kuwa, hasa wewe Maalim, ni msaliti wa watu waliokufa wakipigania hoja ulizokuwa unazisimamia. Ni hakikka kuwa waliokufa zanzibar 2001 hawakufa ili wewe uwe makamu wa Rais. kama lingekuwa ndilo lengo, nina uhakikaa wasingeliyatoa muhanga maisha yao. Walikuwa na lengo zaidi ya kutafuta ufalme wako binafsi. Sasa umepata ulichokuwa unakitafuta (MADARAKA) na wala si ukombozi wa wazanzibari, umetulia, umeridhika kupigiwa saluti. Marehemu wanakusubiri kwenye lango la kuzimu wakuulize maswali kama hayo, Je tulikufa ili uwe makamu wa pili, upigiwe salute, etc