Napenda kujua kama kweli baraza la wawakilishi zanzibar lilipinga mswaada wa marekebisho ya katiba?

All TRUTH

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
5,453
2,563
Wa jf nisaidieni ili nijue kama kweli balaza la wawakirishi zanziber walipinga mswaada huo na kama ndo ivo kwanini hawa mps wanaotoka znbr wameukubari?
 
Mnyaa amesema wameukubali baada ya raisi Wa zanzibar kuhusishwa kwenye katiba
 
Wa jf nisaidieni ili nijue kama kweli balaza la wawakirishi zanziber walipinga mswaada huo na kama ndo ivo kwanini hawa mps wanaotoka znbr wameukubari?

wawakirishi = wawakilishi

wameukubari = wameukubali
 
Back
Top Bottom