M-pesa JF-Expert Member Sep 4, 2011 602 151 Nov 20, 2011 #1 Hili neno limetumika mara nyingi sana na Mh. Tundu Lisu kwenye mdahalo pale MovenPick na hivyo kuonesha kero kwa Mh. Mnyaa.
Hili neno limetumika mara nyingi sana na Mh. Tundu Lisu kwenye mdahalo pale MovenPick na hivyo kuonesha kero kwa Mh. Mnyaa.
M maselef JF-Expert Member Oct 31, 2010 254 46 Nov 20, 2011 #2 Ni kweli kabisa CCM- B wamekula chaka hata msemo wao wa "ngangari" hawezi kuutumia tena
Mumwi JF-Expert Member Jan 9, 2011 592 122 Nov 20, 2011 #3 Yaani hata wajitete namna gani cuf ilimalizwa na magamba hawana ujanja wameishia usemi.