Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, Jackison Msome ameingia katika mgogoro na wananchi wa kata saba za mjini Tukuyu wanaopinga ongezeko la maji kwa kiwango cha asilimia 125 kulikofanywa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
0digg Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amesema hana hofu juu ya uchunguzi unaotarajiwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
WanaJF, Baada ya ripoti ya Jairo kuwakilishwa jana na Jairo, Luhanjo kukaangwa vilivyo waziri mwenye dhamana ya wazara hiyo naye hakuachwa. Mh. Tundu Lissu na wengine wengi walimtaka waziri...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Hivi kwa nini hawa wawili hawana ushirikiano kwenye kazi zao...maana saa zingine huwa nawaona kama vile DUMB & DUMBER lakini mmoja na hasa Jairo kwa nini amekuwa mjinga kama Salva? Na la muhimu...
2 Reactions
140 Replies
27K Views
Kama kuna wakati muhimu kwa chama cha wananchi CUF kufanya maamuzi ya busara basi wakati huo bila shaka ni sasa. Kwa kuwa CHADEMA kinamuuna mkono maalim Seif Zanzibar itakuwa ni jambo la busara...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Ukifuatilia matatizo meengi ya nchi hii utakuta tatizo la 'age gap' kati ya viongozi wanaotawala na wananchi.. zaidi ya nusu ya watanzania ni 'below 30 years old...inasemekana almost 60 au 75...
12 Reactions
212 Replies
17K Views
Katika kuadhimisha miaka hamsini (50) ya Uhuru wa Tanzania Bara, Umoja wa Wanafunzi Walimu (UDSTA) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Shirika la HakiElimu wameandaa kongamano kuhusu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
1.Ngeleja ndie anaisimamia hii wizara 2.Alisign posho ya 4mil 3.Alikuwepo ofisini kumpokea Jairo wakati anarudishwa ofisini so anajua fika kuwa lazima amtete katibu wake bse he is part of the...
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Cag katika taarifa yake alitoa disclaimer, je ni sahihi kutiwa hatiani??????????????
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujuzwa huyu mheshimiwa mbona simsikii kabisa na bungeni hakuwepo safari hii. Yuko wapi?
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kwa hali ya kawaida kabisa, inajulikana kuwa Muungano baina ya nchi ni maafikiano kati ya nchi na nchi. Na mnapoungana mmeridhia kuwa pamoja kwa mambo yote, sasa mimi nahoji juu ya Muungano wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza hivi kuna haja gani ya kumshambulia Lissu juu ya hotuba ya kambi ya upinzani, kuna haja gani ya kubishania mambo yaliyo wazi juu ya mustakabali wa taifa hili, kuna haja gani...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wiki iliyopita nilikuwa nafuatalia mjadala wa mswada wa uundwaji wa katiba mpya ya amuhuri ya muungano wa Tanzania, uliojadiliwa bungeni kwa zaidi ya vikao vitatu mfululizo. Baada ya upinzani hasa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba mnielimishe mm na kwa faida ya wenzangu ambao wanatatizwa na jambo hili kama mm napenda kufahamu TOFAUTI KATI MWANA SIASA NA MWANA HARAKATI kwa sababu nimeshindwa kuwaelewa waheshimiwa...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Jana kwenye madahalo ITV Tundu Lisu alionyesha umahiri mkubwa wa kueleimisha uma kwa nini CHADEMA haikubaliani na mchakato na mswada wa kuunda katiba mpya. Yule Mbunge wa CUF alikuwa kama anaota...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KAMA NGELEJA ATAKUFA NA UWAZIRI HUU BASI MUNGUUKO AENDAKO AKATEKEEE NA MAKAA YA KIWIRA KABISANeville Meena, DodomaKAMATI ya Bunge ya Nishati na Madini imefichua njama nyingine zinazoandaliwa ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
We oppose them not because we hate them, we do not - for hate is a blinding force. We oppose them rather because they stand for everything that we hate. They have become defenders of a corrupt...
32 Reactions
65 Replies
5K Views
Ndg zangu wana jf, nimefuatilia mjadala wa suala la jairo leo bungeni. Wabunge wengi wa chama tawala, wameishia kusema kwa hofu na kushindwa kuweka wazi tatizo lilipo hasa. Katibu mkuu kiongozi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mon, Nov 21st, 2011 Mon, Nov 21st, 2011| Tanzania Tanzanian Bunge (Parliament) in Dodoma The Parliamentary Select Team formed to establish legitimacy of collection of money to finance the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom