Pengo la dr. Slaa bungeni??

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,965
5,336
Wana JF hebu tuchangie hapa kuna yoyote anayeona kukosekana kwa Dr.Slaa bungeni kuna pengo linaloonekana katika kuchangia na kupitisha hoja mbali mbali bungeni?? na je ingekuwaje angekuwepo bungeni kipindi hiki cha kashkash la muswada wa katiba mpya akaunganisha nguvu pamoja na makamanda wengine kama Lissu, Mnyika, Mdee, Lucy, Mbowe na wengine????
 
Ni kweli kuwa kuna pengo la Dr. Slaa bungeni, lakini lazima tukiri kwamba Tundu Lissu ni zaidi ya Dr. Slaa pale mjengoni.
Dr. Slaa ameshakiri kuwa TL ni kama Dr. Slaa 10.

Dr. Slaa amechangia sana chadema kupata kura nyingi 2010
 
Kwani we unaonaje? Unadhani Dk Slaa ni level yake kwa wakati huu kuwa mbunge?? I think he is in next level to be the president
 
Wana JF hebu tuchangie hapa kuna yoyote anayeona kukosekana kwa Dr.Slaa bungeni kuna pengo linaloonekana katika kuchangia na kupitisha hoja mbali mbali bungeni?? na je ingekuwaje angekuwepo bungeni kipindi hiki cha kashkash la muswada wa katiba mpya akaunganisha nguvu pamoja na makamanda wengine kama Lissu, Mnyika, Mdee, Lucy, Mbowe na wengine????

Hayo ni mawazo mgando hana lolote hizo issue alikuwa anapewa na zitto ndio maana wakataka kumpiga chini wakajua atakuja kuwa juu
 
Kiuhalisia pale mjengoni Tundu Lissu kazipa pengo la Dk.Slaa.Dk.Slaa ni mzuri lakini kwa hili lazima tukubali Tundu ni zaid ya slaa mjengoni,
 
Wana JF hebu tuchangie hapa kuna yoyote anayeona kukosekana kwa Dr.Slaa bungeni kuna pengo linaloonekana katika kuchangia na kupitisha hoja mbali mbali bungeni?? na je ingekuwaje angekuwepo bungeni kipindi hiki cha kashkash la muswada wa katiba mpya akaunganisha nguvu pamoja na makamanda wengine kama Lissu, Mnyika, Mdee, Lucy, Mbowe na wengine????
Bungeni hakuna pengo. Kuna ombwe la uongozi kwenye kambi ya CDM bungeni, ndo maana kila kitu wao ni kunyanyuka na kususa! Utoto mtupu na hawawatendei haki wapiga kura wao na walipa kodi.
 
Kiuhalisia pale mjengoni Tundu Lissu kazipa pengo la Dk.Slaa.Dk.Slaa ni mzuri lakini kwa hili lazima tukubali Tundu ni zaid ya slaa mjengoni,

Dr Slaa is the best if you compare him with Lissu. Mimi naona Lissu akiongozwa na jazba kwa kiasi fulani pamoja na dharau(ya kuamini wengine hawajui zaidi yake.). Adios
 
Back
Top Bottom