Mihimili yote mitatu ya dola imetuhumiwa na Imani ya wanachi imekwisha.
A) SERIKALINI
-CAG ndo mkaguzi wa mahesabu ya Serikali. Ndo anayekagua kila kila idara na halmashauri zotte. Sasa naye...
hakika ni kweli nipo na mfanyakazi wa ofisi,ya CAG ananiambia JAIRO ni mtandao wa LUHANJO na wanamakampuni hewa mengi,kwa mfano ananiambia CAG Ripoti ya UDOM alichakachua k'bu kampuni yake...
Mi natabiri hakuna atakayefukuzwa coz hakuna msafi wa kumfukaza mwngn.pia itaibuka kaulimbiu ya kufunika kujivua gamba.kikao chema ccm juweni damu ya wtz inawahusu
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, Jackison Msome ameingia katika mgogoro na wananchi wa kata saba za mjini Tukuyu wanaopinga ongezeko la maji kwa kiwango cha asilimia 125 kulikofanywa na...
0digg
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amesema hana hofu juu ya uchunguzi unaotarajiwa...
WanaJF,
Baada ya ripoti ya Jairo kuwakilishwa jana na Jairo, Luhanjo kukaangwa vilivyo waziri mwenye dhamana ya wazara hiyo naye hakuachwa. Mh. Tundu Lissu na wengine wengi walimtaka waziri...
Hivi kwa nini hawa wawili hawana ushirikiano kwenye kazi zao...maana saa zingine huwa nawaona kama vile DUMB & DUMBER lakini mmoja na hasa Jairo kwa nini amekuwa mjinga kama Salva?
Na la muhimu...
Kama kuna wakati muhimu kwa chama cha wananchi CUF kufanya maamuzi ya busara basi wakati huo bila shaka ni sasa. Kwa kuwa CHADEMA kinamuuna mkono maalim Seif Zanzibar itakuwa ni jambo la busara...
Ukifuatilia matatizo meengi ya nchi hii
utakuta tatizo la 'age gap' kati ya viongozi wanaotawala na wananchi..
zaidi ya nusu ya watanzania ni 'below 30 years old...inasemekana almost 60
au 75...
Katika kuadhimisha miaka hamsini (50) ya Uhuru wa Tanzania Bara, Umoja wa Wanafunzi Walimu (UDSTA) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Shirika la HakiElimu wameandaa kongamano kuhusu...
1.Ngeleja ndie anaisimamia hii wizara
2.Alisign posho ya 4mil
3.Alikuwepo ofisini kumpokea Jairo wakati anarudishwa ofisini so anajua fika kuwa lazima amtete katibu wake bse he is part of the...
Kwa hali ya kawaida kabisa, inajulikana kuwa Muungano baina ya nchi ni maafikiano kati ya nchi na nchi. Na mnapoungana mmeridhia kuwa pamoja kwa mambo yote, sasa mimi nahoji juu ya Muungano wa...
Nimekuwa nikijiuliza hivi kuna haja gani ya kumshambulia Lissu juu ya hotuba ya kambi ya upinzani, kuna haja gani ya kubishania mambo yaliyo wazi juu ya mustakabali wa taifa hili, kuna haja gani...
Wiki iliyopita nilikuwa nafuatalia mjadala wa mswada wa uundwaji wa katiba mpya ya amuhuri ya muungano wa Tanzania, uliojadiliwa bungeni kwa zaidi ya vikao vitatu mfululizo. Baada ya upinzani hasa...
Naomba mnielimishe mm na kwa faida ya wenzangu ambao wanatatizwa na jambo hili kama mm napenda kufahamu TOFAUTI KATI MWANA SIASA NA MWANA HARAKATI kwa sababu nimeshindwa kuwaelewa waheshimiwa...
Jana kwenye madahalo ITV Tundu Lisu alionyesha umahiri mkubwa wa kueleimisha uma kwa nini CHADEMA haikubaliani na mchakato na mswada wa kuunda katiba mpya. Yule Mbunge wa CUF alikuwa kama anaota...
KAMA NGELEJA ATAKUFA NA UWAZIRI HUU BASI MUNGUUKO AENDAKO AKATEKEEE NA MAKAA YA KIWIRA KABISANeville Meena, DodomaKAMATI ya Bunge ya Nishati na Madini imefichua njama nyingine zinazoandaliwa ili...