Tofauti kati ya mwana siasa na mwana harakati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti kati ya mwana siasa na mwana harakati

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chifu kamaliza, Nov 21, 2011.

 1. C

  Chifu kamaliza Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba mnielimishe mm na kwa faida ya wenzangu ambao wanatatizwa na jambo hili kama mm napenda kufahamu TOFAUTI KATI MWANA SIASA NA MWANA HARAKATI kwa sababu nimeshindwa kuwaelewa waheshimiwa waliko mjengoni na serekalini hasa waheshimiwa wafuatao Lema, Anna Kilango,shelukindo,Sitta, Lusinde Nape, Lissu na wengine wengi nashindwa kuwaelewa ndio maana napenda kufahamu tofauti kati mwana harakati yukoje na mwana siasa yukoje na Je mwana harakati ana weza kuwa mwana siasa? Na je mwana siasa anaweza kuwa mwanaharakati Naombeni mnielimishe na wengine wapate elimika kupitia JF.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mwanaharakati mtetea kitu anachoamini kina umuhimu kwake na kwa faida ya wengine na mwanasiasa huwa yeye ni muongo na mpenda madaraka na kujiona ni bora kuliko watu wengine..
   
 3. M

  Mwenye haki Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanaharakati ni mtetezi wa wanyonge na anayepinga mabaya yasitokee kwa jamii.
  Mwanasiasa ni mtu anayejihusisha na siasa lakini anaweza asiwe mtetezi wa wanyonge.
  Mwanaharakati anaweza kuwa mwanasiasa ili aweze kuitetea jamii kupitia madaraka yake.
   
 4. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwanza Nape si mbunge. Pili, si lazima mwanaharakati awe mwanasiasa, lakini unapokuwa na mwanasiasa ambaye ana jukwaa la kuzungumzia lakini akawa anaendesha harakati zake kwa staili ya wanaharakati basi huyo hajui mipaka yake na pengine hafai kuwa mwanasiasa.
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mwanasiasa muongo
  mwanharakati mkweli.
   
Loading...