Endapo Ngeleja akijiuzuru, January Makamba apewe Uwaziri huo

Losambo

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
2,612
864
WanaJF,
Baada ya ripoti ya Jairo kuwakilishwa jana na Jairo, Luhanjo kukaangwa vilivyo waziri mwenye dhamana ya wazara hiyo naye hakuachwa. Mh. Tundu Lissu na wengine wengi walimtaka waziri kulinda heshima yake kwa kujiuzuru mara moja pamoja na naibu wake.
Lakini katika siku za hivi karibuni waziri Ngeleja amekuwa akimuona January Makamba kama mchawi wa kiti chake tokea alipopewa kuwa mwenyekiti ya kamati ya nishati kule bungeni kama sijakosea.
Kutokana na hilo na kauli za January za mara kwa mara kumshutumu Ngeleja moja wapo aliyoitoa kwenye mdahalo wa jijini Dar kwamba "Ni bora kutokuwa waziri kuliko kuwa waziri ambaye ukiongea hauaminiki" ikiwa ni dongo la wazi kwa Ngeleja kwa nini nae ASIPEWE WIZARA HIYO TUONE JINSI ATAVYOONGOZA!
Nawasilisha,
 
naona anatamani sana hilo'anapenda sana ukubwa'hawa watu kama huyu watatuzidishia matatizo tu'mtoto wa nyani ni nyani tu
 
Hilo linajulikana toka mwanzo kwa kuwa kijana January ameufukuzia sana huo uwaziri na huenda akapewa, ila itakuwa imekula kwetu, kilaza + kilaza = kilaza[SUP]2[/SUP]
 
hana jipya huyo makamba...ni sawa na bure tu hata akiingia hapo wizarani. kwanza yy n bach up ya akina rostam,kwa hiyo usite=gemee jipya zaidi ya porojo na ufisadi tu hao.
 
Fe Lady hebu nipe sababu za kukataa kwako, maana huyo dogo amekuwa akimuandama sana Ngeleja. Tuondoe kwamba yeye ni mtoto wa Makamba tumjadili kwa uwezo wake.
Uwezo mdogo,hiyo wizara haihitaji ngwini kama JM,Anaongea mno,vitendo hakuna
 
Hilo linajulikana toka mwanzo kwa kuwa kijana January ameufukuzia sana huo uwaziri na huenda akapewa, ila itakuwa imekula kwetu, kilaza + kilaza = kilaza[SUP]2[/SUP]
Kwa hiyo January siyo kilaza hana uwezo wa kuongoza mkuu? Mbwembwe zote za kumchafua Ngeleja kumbe naye hana kitu?
 
kumwandama ngeleja haimaanishi kuwa basi wewe ndio unajua kuendesha hiyo wizara.cha muhimu ni ubunifu ambao sioni kama makamba anao zaidi ya kuona weak points za ngeleja tu.
Fe Lady hebu nipe sababu za kukataa kwako, maana huyo dogo amekuwa akimuandama sana Ngeleja. Tuondoe kwamba yeye ni mtoto wa Makamba tumjadili kwa uwezo wake.
 
WanaJF,
Baada ya ripoti ya Jairo kuwakilishwa jana na Jairo, Luhanjo kukaangwa vilivyo waziri mwenye dhamana ya wazara hiyo naye hakuachwa. Mh. Tundu Lissu na wengine wengi walimtaka waziri kulinda heshima yake kwa kujiuzuru mara moja pamoja na naibu wake.
Lakini katika siku za hivi karibuni waziri Ngeleja amekuwa akimuona January Makamba kama mchawi wa kiti chake tokea alipopewa kuwa mwenyekiti ya kamati ya nishati kule bungeni kama sijakosea.
Kutokana na hilo na kauli za January za mara kwa mara kumshutumu Ngeleja moja wapo aliyoitoa kwenye mdahalo wa jijini Dar kwamba "Ni bora kutokuwa waziri kuliko kuwa waziri ambaye ukiongea hauaminiki" ikiwa ni dongo la wazi kwa Ngeleja kwa nini nae ASIPEWE WIZARA HIYO TUONE JINSI ATAVYOONGOZA!
Nawasilisha,
mtu akipewa uongozi kwa kusema hivo tu, haina maana, kwani itamgarimu kama inavyomgarimu Mwakyembe, aliyepewa uongozi kwa 7bu ya riport ya richmond
 
hana jipya huyo makamba...ni sawa na bure tu hata akiingia hapo wizarani. kwanza yy n bach up ya akina rostam,kwa hiyo usite=gemee jipya zaidi ya porojo na ufisadi tu hao.

Kumbe dogo ni kundi la mafisadi akina Rostam, ni dhahiri kumbe anaweza kutuuza!!!
 
Mtoto wa Sheikh Yahya awe waziri wa umeme! Ee Mungu epusha mbali!
 
Hakuna mwingine? Mnataka kumpoteza tu kijana wa wa2, ndio itakuwa mwisho wa safari yake kisiasa akipewa wadhifa huo
 
WanaJF,
Baada ya ripoti ya Jairo kuwakilishwa jana na Jairo, Luhanjo kukaangwa vilivyo waziri mwenye dhamana ya wazara hiyo naye hakuachwa. Mh. Tundu Lissu na wengine wengi walimtaka waziri kulinda heshima yake kwa kujiuzuru mara moja pamoja na naibu wake.
Lakini katika siku za hivi karibuni waziri Ngeleja amekuwa akimuona January Makamba kama mchawi wa kiti chake tokea alipopewa kuwa mwenyekiti ya kamati ya nishati kule bungeni kama sijakosea.
Kutokana na hilo na kauli za January za mara kwa mara kumshutumu Ngeleja moja wapo aliyoitoa kwenye mdahalo wa jijini Dar kwamba "Ni bora kutokuwa waziri kuliko kuwa waziri ambaye ukiongea hauaminiki" ikiwa ni dongo la wazi kwa Ngeleja kwa nini nae ASIPEWE WIZARA HIYO TUONE JINSI ATAVYOONGOZA!
Nawasilisha,

Ngeleja alianza January kamaliza. Ule waraka wa mwamvita ilikuwa kazi ya ngeleja riz1 pamoja na boss moja voda waliochoka na hawa wana makamba.sidhani jk anaweza kujiroga kumpa jm uwaziri ingawa anaufukuzia sana. Pengine asubirie serikali ya EL
 
kumwandama ngeleja haimaanishi kuwa basi wewe ndio unajua kuendesha hiyo wizara.cha muhimu ni ubunifu ambao sioni kama makamba anao zaidi ya kuona weak points za ngeleja tu.
Lakini kwa kuwa yeye ni mwenyekiti wa kamati ya nishati tayari atakuwa na historia ya wizara hiyo hivyo haitamghaimu sana. Unaonaje?
 
ndiye aliyemsukia hiyo ajali maana wizara zote wanafanya hivyo hivyo. Lazima achukue mtaona
 
Hakuna mwingine? Mnataka kumpoteza tu kijana wa wa2, ndio itakuwa mwisho wa safari yake kisiasa akipewa wadhifa huo
Watu, inaweza kuwa ni nafasi yake endapo ata perfome na kinyume chake. Lakini nikubaliane nawe kama uwezo ni mdogo ndiyo utakuwa mwisho wake wa kisiasa.
 
ndiye aliyemsukia hiyo ajali maana wizara zote wanafanya hivyo hivyo. Lazima achukue mtaona
Mimi naamini kabisa mchango wa JM upo katika suala la Ngeleja maana hakuanza jana kumuandama, tokea alipokabidhiwa rungu la kuwa mwenyekiti wa kamati ya nishati.
Ni wazi alikuwa anautaka uwaziri, na hata baba yake kuna kipindi ilidaiwa eti amekasirishwa na uteuzi wa baraza la mawaziri kwa kuwa mwanae hakuwemo.
Lakini hata hivyo kipindi kile JM hakuwa akifahamika sana, ngoja tuone baada ya watu kuanza kumjua JM sasa.
 
wanasema Magufuli ni mchapakazi, apewe hii wizara tuone kasi yake may b tunaweza kusahau mgao..my opinion
 
Back
Top Bottom