CAG alitoa disclaimer kwenye taarifa yake, je ni sahihi kupatikana na hatia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CAG alitoa disclaimer kwenye taarifa yake, je ni sahihi kupatikana na hatia?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bijou, Nov 21, 2011.

 1. B

  Bijou JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Cag katika taarifa yake alitoa disclaimer, je ni sahihi kutiwa hatiani??????????????
   
 2. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hawezi kutiwa hatiani. Cag anaweza kutiwa hatiani kwa uzembe (neglegency) au kupotosha watuamiaji wa taarifa yake ( mislead users) kama atakuwa ametoa hati safi ( unqualified opinion). ila kama ametoa adverse, disclaimer au qualified ikiwa na ephasis of matter. Hapa nina maana CAG atasema hesabu ziko safi isipokuwa kitu fulani (anakitaja)
  Umeridhika?
   
 3. I

  Iguguno Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama imetoa disclaimer basi hana hatia kwa hapo
   
 4. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hana hatia. Ila walio tumia repoti yake kutoa maamuzi ndo wenye hatii??
   
 5. B

  Bijou JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145

  nakushukuru polisi!!!
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kuwa na hatia au kutokuwa na hatia kunategemea na ripoti yake.

  Huwezi kumuhukumu kwa kuona au kupata ripoti moja tu ya kamati ya Bunge. Ingawa ukipitia ripoti hiyo wamemlaumu kwa kutofuata adibu za rejea alizopewa bali kujikita na maneno au figuras katika tuhuma ile.

  Na yale mambo ya kughushi yaani balala 20,000/ kuandikwa 120,000/ na mengine haya ukipitia ripori ya CAG na kuona aliyo yaona na nini comment zake kwa hilo.

  Hivyo huwezi kumuhukumu pasi na kuona ripoti yake.

  Nafikiri kwa kufuata na Rules of law ambayo tanzania inafuata basi bila shaka polisi na PCCB wataingia kazini hapo kutaka kujua ukweli kamili na kufukisha suala hilo katika vyombo vya sheria.
   
 7. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Umesaidia kutupanua uelewa mkuu.
   
 8. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wote wale wale tu, ripoti yake iko wapi tuione basi? mwenye hiyo ripoti yuko wapi aipost, naye wakati yote haya ayanazungumzwa alikwa wapi mambo ya kuweka mambo kimtego tego tu apewe adhabu. Huyu ni mjanja ambaye alijua anafanya nini regardless ya hiyo disclaimer yake.
   
Loading...