JOB NDUNGAI yuko wapi jamani?

Bhbm

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
714
208
Wakuu naomba kujuzwa huyu mheshimiwa mbona simsikii kabisa na bungeni hakuwepo safari hii. Yuko wapi?
 
duh! Umenikumbusha alivyofunikwa na Lissu akaanza character assasination
 
Nna wasiwasi magamba yamemficha....kwa kukubali kuunda kamati teule ya JAIRO.

Tukumbuke hoja ya zito kuunda kamati teule kuhusu jairo, iliibuliwa ndungai akiwa anaongoza bunge...akasema NO..wakalidharau bunge hukohuko...ndo bi kiroboto akaitwa ghafla kuja kuweka mambo sawa!

sasa adhabu alopewa ni kwenda pahala hadi swala la jairo liishe...kapingwa mkwara wa uhakika...
 
Poor Job! Huenda yuko Hospitali moja na Mwandosa. Kumbukeni Anne alikuwa huko hivi karibuni!
 
Ebwana inawezekana magamba kweli yamemficha maana hata mie sijamsikia kabisa
 
Ndugai yuko katika shinikizo kubwa la kichama na kiserikali kwa kauli yake aliyoitoa bungeni(dharau zenu kazifanyeni huko huko serikalini)

Kauli yake imesababisha kutolewa vitisho na wakuu wake wa chama na ata watu wa serikali kwamba amemdharau rais ambaye ni mwenyekiti wake na pia kuitukana serikali
 
Nimeamini ukiwa ccm ni sawa na kuingia kwenye genge la wachawi ukienda kinyume na wenzio wanakumaliza.
 
Job yupo Kongwa.Alikuwa Ughaibuni kwenye vikao vya Mabunge ya Cameroon(Madola).Hatahivyo,hali yake ni dhaifu sana.Si Job tuliyemzoea.Amepoa,amenywea.Tatizo sijui ni nini..
 
Adui mwombee njaa, kama amechoka basi aachie hiyo ngazi vijana wa kongwa wanakuja kwa speed ya ajabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom