David Jairo wa IKULU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

David Jairo wa IKULU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Oct 15, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Hivi kwa nini hawa wawili hawana ushirikiano kwenye kazi zao...maana saa zingine huwa nawaona kama vile DUMB & DUMBER lakini mmoja na hasa Jairo kwa nini amekuwa mjinga kama Salva?

  Na la muhimu zaidi kwa nini Jairo unamwongopea rais kuwa WEBSITE si kitu cha muhimu au ndio unaleta uhuni wako kama wa mzee LUHANJO?

  Hivi hii aibu mtaendelea kuitia aibu Ikulu mpaka lini?

  [​IMG]
   
 2. M

  Msharika JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Great GT,

  These guys at ikulu they have nothing to think rather than their stomachs and what to grabe from people.

  Wafukuzwe tu, kwani mkuu wa kaya akiwa msanii na walio naye ni wasanii tu
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  huyu rais nae hana akili ya kufikiria mpaka adanganywe na watu wake ??
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  system ya mazuzu magic, wanaopewa kazi kwa majina na si kwa ajili ya intelligence yao na uwezo wao wa kushauri.
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2009
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  kikwete..wanamwambia...raia..hawana..umeme..na..wala..hawamiliki..internet..........tovuti..ya..nini?
   
 6. JS

  JS JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Samahani GT ila ninaomba kueleweshwa zaidi kuhusu habari hii tafadhali
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
 8. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Ndio tatizo la kuendekeza urafiki kwenye kazi za serikali!! Huyu Jairo alianza na Jakaya toka wakiwa wizara ya Nishati; uhusiano wao wanaujua wenyewe, sasa kwenye Urais huyu bwana ndiye msaidizi wake wa karibu lakini kwa historia yao hata akiboronga vipi muungwana inamuwia vigumu kumchukulia hatua!! Huyu bwana ndiye anahusika na Jakaya kutoweza kuwaona wananchi wengi wanaotaka kuonana nae; hata pale rais anapowapa ahadi watu wakamuone ikulu huyu bwana hawapi nafasi hata kidogo!! Kwa vitendo vyake Hamsaidii muungwana.
   
 9. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2009
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jairo mshikaji wake JK, wametoka mbali tangia enzi zao ufisadi nishati na madini wako pamoja hao, so msipoteze muda, hafukuzwi mtu hapo.
   
 10. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #10
  Oct 17, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,427
  Trophy Points: 280


  kama anazuia watu kumuona rais bila sababu za msingi he is right....rais ni mtu wa mwisho mkuu kuliko wote kwenye taifa ....sasa kama kila mtu atataka kumuona ..ni tatizo..hata hii kumpa blackberry awe anachat ovyo ,...system za nchi nyingine hazikubali...rais asome sms au hata email ambayo its not filtered...jaribu kufikiria pale rais anapopewa umbeya kwenye sms ..au email pasipo wasaidizi kujuwa na ikainfluence baadhi ya maamuzi nyeti ......huoni ni hatari!!!!.....hata bosi wa kawaida ana secretary ambaye kazi yake ni kuchuja mchele na chenga kabla ya kumpelekea bosi kitu safi afanyie kazi...

  thats how system works...sasa mambo ya kuruhusu kandambili onyo ikulu hayapo hayo....,ni vema kama mtu anataka kumuona rais akamsubiri bagamoyo...au chalinze...Hata mwalimu walikuwa wakimsubiri msasani...,na mkapa walikuwa wakimsubiri upanga...au lushoto!!!

  mambo ya kukaa feri job less kona na kwenda kula lunch ikulu ya magogoni kama yamerudi yapigwe vita na kina jairo!!!
   
 11. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  He he he ! jamaa wantaka kuigeuza Ikulu kuwa kama jengo la klabu ya Yanga!!!
   
 12. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jairo ni fisadi wa kutupwa, ana jumba la ajabu amejenga pale Ada Estate, mwaka mmoja baada ya Jk kuingia madarakani, anakula kodi, USD 8,000 per month!
   
 13. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  si hivyo tuuu

  amekuwa akibinafsisha safari za Bosi utafkiri yeye ndiye Mungu mtu

  na in short wenzake washamchoka sema ndio hawana pa kusemea na mindhali ukumbi upo basi naye madudu yake yatawekwa wazi tuu
   
 14. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  GT wakina January wamekulalamikia nini; kwahiyo hapa janvini umeona ndio mahali pa kurekebishia mambo yao? Huyu bwana kama anabinafsisha safari za Mkulu bila shaka anafanya hivyo kwa ridhaa yake mwenyewe Mkulu! Hivyo basi jamaa zako walie tu ama sivyo wabwage manyanga wakagombee ubunge mwakani!
   
 15. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #15
  Oct 18, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,427
  Trophy Points: 280

  yeye ndiye anabebaga lile koba la pesa za shopping za rais nini.....maana jk akienda lazima achukue cash BOT si chini ya dola milioni 1....imprest ....na hakirudi kitu....

  ...lakini sasa napata shaka na melta hoja ..inawezekana kweli jairo anapiga bao wenzake kwa kubaki na keep change za fuko la safari...lakini mnao uhakika mioyoni kwenu kuwa mnalalamika kwa uchungu mlionao kwa taifa...au mnalalamika kwa kuwa mmekosa fursa ya kubebeshwa fuko la pesa za safari za rais???

  kubeba fuko la pesa la rais mtumbuaji na mpenda mabibi kuna raha yake...kwani hata yeye hawezi kukumbuka ameagiza ununue nini,kwa ajili ya nani..na kwa bei gani....,na ukirudi hakuna muhasibu mwenye ubavu wa kukulazimisha uandikie kila kitu ulichonunua ...maana it will amount to kumchimba rais....tofauti na waliokuwa wakimbebea pesa mwalimu...ambaye akijuwa anatoka nchi masikini ...alikuwa akisafiri hadi na unga wa muhogo..ili aendelee kupiga ugali...na hakuwa na haka ya kwenda mark and spenser ...zaidi ya kushonea nguo zake vibarazani..dar,sasa sijuwi ukirudi fuko limeisha ungewaambia nini wahasibu...au yeye mwenyewe asikie ameambiwa katumia pesa.....so all the time fuko la pesa za safari la mwalimu lilikuwa linarudhiswa hazina halijaguswaa......

  kuna msaidizi mmoja wa mwalimu ..kwenye security entourage yake enzi hizo..the like of jairos ...alinieleza namna ilivyokuwa ngumu ...hata kumnunulia mwalimu kiatu london....mara nyingine iliwabidi wafanye ubishi tu ....wanunue..,then wanabandua lebel...kuondoa price tag....maana asingepokea kiatu cha gharama....sasa siku hizi kwa nini usijenge kama rais mwenyewe.....ananunua designers brand...newyork ...just a blazer..for up to $4,000 per pc....acha vitu vingine...na anavijua viwalo..hamjaona east african ...he is considered among the african well dressed statesman...
   
 16. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Umenikumbusha hapa enzi za mwalimu kubeba unga wa mhogo siyo leo watu wanawaza kutega tu.
   
 17. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2009
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahah sasa mlie, Jairo kapewa ukatibu mkuu nishati
   
 18. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  duh!

  kazi kweli kweli
   
 19. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #19
  Oct 19, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,427
  Trophy Points: 280
  Taarifa hiyo imesema kuwa Mhe. Rais Kikwete amemteua Bwana David Kitundu Jairo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini. Kabla ya uteuzi wake, Bwana Jairo alikuwa Katibu wa Rais

  .....du inaonekana wabaya wa jairo wamefanikiwa kumfanya apandishwe cheo.....

  na inaonekana jairo anashughulikia mambo ya pesa ya mzee kweli....maana kupelekwa wizara ya nishati yenye maslaji ya wazee na mafisadi wote nchi hii lazima uwe connected...

  ukiangalia waziri wa nishati ...ngeleja alikuwa ex employee wa mr .kagoda..pale voda, na sasa anapelekewa katibu mkuu mtu wa jk....sasa mnategemea nini...kanyaga twende......wanapitisha mambo yao.......
   
 20. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Duuuh! Post yako imenifurahisha sana ndugu yangu!
   
Loading...