Tabiri yatakayotokea kikao cha CCM Kitakapomalizika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabiri yatakayotokea kikao cha CCM Kitakapomalizika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Nov 21, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mi natabiri hakuna atakayefukuzwa coz hakuna msafi wa kumfukaza mwngn.pia itaibuka kaulimbiu ya kufunika kujivua gamba.kikao chema ccm juweni damu ya wtz inawahusu
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nakubaliana na wewe kabisa'nani amfukuze nani wote ni wachafu takataka
   
 3. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hii itakuwa zamu ya mzee sitta! Ila yeye anajua anachikifanya.
   
 4. only83

  only83 JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kwasasa CCM haiwezi chukua maamuzi magumu zaidi ya haya...natabiri kifo cha falsafa ya kujivua gamba....
   
 5. k

  kingukitano JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,971
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM wanajua wanachokifanya,hiki ni chama chenye uzoefu mkubwa katika mambo ya siasa Africa na Dunia kwa ujumla,kwa haraka haraka tunaweza kuona kuwa watafukuzana lakini wao pia na Mwenyekiti wa chama ana hekima,anajua msukumo wa watu wa nje umekua mkubwa jambo amabalo linakitega chama hake ili kisambaratike na iwe unafuu kwa wapinzani wa CCM,Natabiri chama kutoka imara zaidi na kussahau tofauti zote zilizokua zinaongelewa,
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  huyu mwenyekiti wao kilaza alikurupuka tuu na huu msemo wa kujivua gamba, haukuwa na mantiki yeyote ukizingatia chama chenyewe pamoja na serikali inayoiendesha ilitakiwa kufanyiwa overhaul or reforms
   
 7. k

  kingukitano JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,971
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM wanajua wanachokifanya,hiki ni chama chenye uzoefu mkubwa katika mambo ya siasa Africa na Dunia kwa ujumla,kwa haraka haraka tunaweza kuona kuwa watafukuzana lakini wao pia na Mwenyekiti wa chama ana hekima,anajua msukumo wa watu wa nje umekua mkubwa jambo amabalo linakitega chama hake ili kisambaratike na iwe unafuu kwa wapinzani wa CCM,Natabiri chama kutoka imara zaidi na kussahau tofauti zote zilizokua zinaongelewa,
   
 8. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Huhitaji kutabiri au kubashiri. Kikao hiki ni cha kumalizia kiporo. Wale wahuni wawili waliobaki huu ndo wakati wakuwamwaga. Mbona hilo liko wazi?
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hakuna asiye Muhuni ndani ya CCM
   
 10. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  wahuni wangapi?
  Mbona chama chote ni chawahuni!
   
 11. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  natabiri hakuna litakalotokea kwenye hivyo vikao, vitakuwa ni vya taarabu tu, but no action.As usual for CCM
   
 12. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Unataka kuniambia hata Jakaya Mrisho Kikwete naye ni muhuni? si kweli bwana angekuwa muhuni wazee wa Dsm wasingekubali kumsikiliza au huwa wanalipwa kichini chini?? najaribu kubreinstom:A S embarassed:
   
 13. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hakuna jipya zaidi ya kudivert akili zetu kwenye zengwe jingine!! Na mleta maada nadhani umeleta hapa kupima joto wakati unajua hakuna jipya.
   
 14. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mtashangaa kuona maamuzi yatakayochukuliwa
   
 15. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hivi Nape ana guts za kumuangalia usoni mzee wa Monduli??? Sipati picha, nahisi Nape atajibanza katika angle ambayo hawaonani kabisa na Lowassa kwa vile dogo ni mwoga sana kama walivyo wanafiki wengine.
   
 16. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  usitegemee chochote kipya!
   
 17. N

  Ndulele New Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  magamba ni mengi kiasi kwamba hata hiyo falsafa yenyewe ya kujivua gamba haieleweiki.. so dont expect anything new. sana sana kina Nape watatoka na aibu, na wimbo mpya wa kutafsiri magamba in other way
   
 18. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #18
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,171
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  Naomba Mungu wasivuane magamba njia iweze kuwa tambarale kwa UKOMBOZI WA2!
   
 19. m

  marembo JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata katika maandiko watu walipomfumania yule mama na kumfikisha mbele ya Yesu na adhabu ya kupigwa mawe hadi afe. Yeye alisema yeyote yule ambaye hajafanya kosa hilo na awe wa kwanza kurusha jiwe. Wakati huo akawa amechora kitu chini ya ardhi na kumuacha mwanamke. Aliponyanyua uso wake alimkuta mwanamke peke yake na washtaki wake wametoweka. Alimwuliza wako wapi wale waliokushtaki? Akasema wameondoka bila kuniadhibu. Naye akamwambia nami sikupi adhabu yoyote lakini tangu sasa usifanye dhabi tena. Haya yanajionyesha katika mkusanyiko wa CCM Dodoma. Watarudi wanachekeana tu na uozo utabaki pale pale.
   
 20. T

  Think Tank JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 234
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jk atamwomba msamaha Lowassa.
   
Loading...