Kuna haja gani ya kuwakumbatia hawa? Kikwete usipotoshe umma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja gani ya kuwakumbatia hawa? Kikwete usipotoshe umma!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NIPENDEMIMI, Nov 21, 2011.

 1. N

  NIPENDEMIMI Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikijiuliza hivi kuna haja gani ya kumshambulia Lissu juu ya hotuba ya kambi ya upinzani, kuna haja gani ya kubishania mambo yaliyo wazi juu ya mustakabali wa taifa hili, kuna haja gani ya kubishana juu ya ukweli kwamba ccm wanapotosha umma ili wateke katiba mpya, kuna haja gani ya kukataa kuwa suala la katiba lilikuwa ni sera ya chadema, kuna haja gani ya kungangania madaraka kwenye uundwaji wa tume ya kuandika katiba kama kweli umeamua kuwaletea katiba mpya, kuna nini nauliza kuna haja gani?kuna haja gani ya kuwa na ccm hali wamekuwa ndo wavunjifu wa sheria,
  kuna haja gani ya kuendelea kuwalea hali ndo wafadhili wa mafisadi, askofu wa kanisa lao ni kikwete na waumini ni mawaziri na wabunge ccm na makada wao, kuna haja gani ya kupotosha umma juu ya mambo ya msingi!watanzania tuamke mambo sio, yaliyojiri tangu buzwagi, iptl, tangold, bulyankulu, richmond, kiwira, buhemba, geita, tulawaka, mchuchuma, deepgreen, epa, na sasa EPZ, SYMBIONS, WIZARA YA NISHATI, KAGODA NA UMILIKI WA KIKWETE , kweli kuna haja ya kuwa na hawa watu???kuna haja ya kujiuliza na kuendelea kuwa na matumaini juu ya hawa watu??
  walioshindwa miaka 50 iliyopita kuleta maendeleo ndo wataweza sasa hivi?kuna haja gani watanzania kuchukua maamuzi magumu??kamwe tusitegemee maendeleo kutoka kwa hawa watu naapa, lazima tuamke na tuisimamie nchi sio kukaa vyumbani na kudai maendeleo!these are purely failures.

  Nimemsikia kikwete akibeza juu ya wapinzani eti walisema wataleta katiba ndani ya siku 100, wewe ni kiongozi wa juu wa chama na serikali, kila mtanzania anajua chadema walsema nini juu ya hilo, KILICHOONGELEWA KILIKUWA NI MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA SIO KATIBA MPYA?AMA KWELI NDO MAANA UNAVUNJA SHERIA KWA KUINGILIA MAHAKAMA NA KUSAMEHE WEZI WA EPA ETI WARUDISHE HALI SHERIA ZIKO WAZI JUU YA MWIZI, NA ULIFANYA ILI KULINDA USHIRIJKIN WAKO NA HAYA YOTE TUNAYAJUA, TUNASUBIRI UKAE PEMBENI ILI ULIPULIWE VIZURI N THIS TIME AROUND, LAZIMA UANGUKE KWENYE MIKONO YA SHERIA, WEKENI MIFUMO YA KULINDANA ILA MABADILIKO NI KA UPEPO HAKUNA WA KUZUIA, TUMECHOKA NA HATUNA HAJA YA KUWA NA CCM, NI WEZI UAHANISI, USALITI, UFISADI, UNAFIKI KWA WANANCHI NA UPUMBAVU WA KUTOELIMISHA WANANCHI, LEO ETI UMEME UPANDE KWA 155% KWA KIPATO KIPI NA WEWE UPO UNACHEKAKCHEKA, KIPATO CHA MTANZANIA KINAWEZA KUMUDU BEI HII???LAZIMA UKAE CHINI UANAYSE ISSUE HATA KAMA UPEO WAKO MDOGO HILI HALIITAJI AKILI NYINGI!
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Siku zako magogoni zinahesabika mkuu
   
 3. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Wakati mwingne mi pia najiuliza, hatimae lawama uwa nawangushia wananchi kutokuwa na utashi na uamuzi wa kweli.
   
 4. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna vipengele vilivyopo katika katiba ya sasa vinafanya watatizike sana hawa magamba, wanashindwa kujua hatima yao lakini mimi nawaasa hivi kilichopangwa muda ukifika huwezi kuzuia. Imefika sasa kuwa na tume huru ya uchaguzi ambayo itatoa haki pasipo shaka kwa matokeo ya chaguzi zetu, imefika sasa kubebana kindugu, kirafiki basi tumekasirishwa vya kutosha hata muumba ameleta nafasi hii ni juu yetu sasa kuhakikisha yanatimia haya. Nasema hivi hii nchi ni yetu wote hakuna wa kutoroka hapa tutafia hapa hapa kama ilivyotokea kwa Gadaffi na familia yake.
   
 5. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,928
  Likes Received: 1,033
  Trophy Points: 280
  Mkulu nakua na machungu sana nikikumbushwa ufisadi ambao umetajwa hapo juu kwenye red ...... lakini baadaye najirudi na kusema tusiwalaumu mafisadi...... wakulaumiwa na haya yoote ni sisi wenyewe watanzania ...... ambao ni wagumu wa kuelewa.... na wagumu wa kung'amua mambo..... wewe haiwezekani .... hali ya maisha ni ngumu miongoni mwetu watanzania..... huku ukisikia sijui waziri gani au wizara gani wamefisidi mabilioni ya shilingi ...... lakini nilishangaa mwaka jana kwenye uchaguzi watanzania kama wamerogwa vile wanawachagua akina Kikwete.... na akina Rostam Aziz....... Halafu sasa wanaanza kushangaa na kulalama hali ni ngumu...... wakati wenyewe walichagua maumivu.......hovyo kweli......
   
 6. M

  Mzee Busara Senior Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vibwagizo vilevile vinakarabatiwa na kuja katika mfumo mwingine tunajadili haya tangu kuanza kwa jaamiiforums
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wewe changanya mambo tu na watu wakuone mwehu. Rais alikuwa anajibu hoja zinazopotoshwa kwa ajili ya plitical expedience. Hatutaki watu wapotoshe masuala muhimu kuhusu mustakabali wa katiba halafu wakaangaliwa tu ili felsehood zao zijikite na kuonekana ukweli. Hayo unayoita wewe kashfa is a subject for another day, lakini muhimu kwa sasa ni kuuonyesha umma kwamba kuna watu wanapotosha watu na kutumia dhamana na weledi wao kujipatia political mileage na hii haikubaliki hata kidogo.
   
 8. d

  dotto JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hoja ya katiba ilikuwa kwenye ilani ya CCM - 2010?. CCm wanafiki? Tutafika muda ambao Mungu atataka.
   
 9. N

  NIPENDEMIMI Member

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  nadhani ungeenda mbali zaidi kama wewe ni kweli great thinker ukaeleza upotoshaji unaouhubiri, usiwe kama kingozi wako anayesema udini huku haelezi udini ni upi aliouona!funguka vizuri basi utuelezee upotoshaji unaousema!
   
Loading...