Kumbe cuf si dead like magamba?

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,926
Jana kwenye madahalo ITV Tundu Lisu alionyesha umahiri mkubwa wa kueleimisha uma kwa nini CHADEMA haikubaliani na mchakato na mswada wa kuunda katiba mpya. Yule Mbunge wa CUF alikuwa kama anaota ndoto za alinacha maana hakuweza kujibu hoja yo yote kiufasaha akawa anamkodolea tu Tundu macho. Wakaambiwa wanandoa na magamba hivyo lazima mke amsupport mume. Bravo Tundu .You Rock commander.

Leo asubuhi Cuf wameamka na malalamiko kwamba chama chao kinakufa , maana viongozi wamejikita kwenye serikali zaidi kuliko kujenga chama. So kumbe the couples are dying simultenaeoulsy?

BTW yu wapi LIPUMBA?
 
source please kwenye red.
 
CUF ILIKUFA SIKU WALIPOUNGANA NA MAGAMBA,WAMEBAKIA TUU UBADILISHA JINA NA KUJIITA GAMBA B

kwishneyyyyyyyyy kapsa
 
Kama mme akifa wakati mke anampenda unategemea nini? lazima mke huyu ashikwe na presha na hatakua na mda mrefu nae atamfuata mumewe kaburini. The same CUF wataifuata ccm kaburini
 
Lipumba amekitelekeza chama, yuko zake Brunei anakula bata, hana mke wala mtoto, anakula maisha bila stress
 
Jana kwenye madahalo ITV Tundu Lisu alionyesha umahiri mkubwa wa kueleimisha uma kwa nini CHADEMA haikubaliani na mchakato na mswada wa kuunda katiba mpya. Yule Mbunge wa CUF alikuwa kama anaota ndoto za alinacha maana hakuweza kujibu hoja yo yote kiufasaha akawa anamkodolea tu Tundu macho. Wakaambiwa wanandoa na magamba hivyo lazima mke amsupport mume. Bravo Tundu .You Rock commander.

Leo asubuhi Cuf wameamka na malalamiko kwamba chama chao kinakufa , maana viongozi wamejikita kwenye serikali zaidi kuliko kujenga chama. So kumbe the couples are dying simultenaeoulsy?

BTW yu wapi LIPUMBA?

Mkuu hapo kwenye bold nyekundu, si unajua mume akifa kwa ngoma mke lazima afuate ?
 
Kama mme akifa wakati mke anampenda unategemea nini? lazima mke huyu ashikwe na presha na hatakua na mda mrefu nae atamfuata mumewe kaburini. The same CUF wataifuata ccm kaburini

...uko miaka ya nyuma kulikuwa na kabila moja ambolo mila zake zilazimisha mfalume akifa alikumwa lazima anazikwa na wake zake.Leo mfalume{CCM} yu maututi ICU,tumshonee sanda na pia za wake zake(CUF,TLP&UDP)...
 
Tumechoka na propaganda zenu mfu. Hivi kama kweli chama kimekufa nyie mnahangaika nini? Si ni faida kwenu? Hapa inaonyesha wazi kabisa kwamba kuna kitu kinawakera na mnatamani nyie ndo mngekuwa mko serikalini. But take this! Mchakato unaendelea na wanaondelea kukutana mahotelini wacha wafanye hivyo but there is no turning back.
 
Back
Top Bottom