Ndg zangu wana jf, nimefuatilia mjadala wa suala la jairo leo bungeni. Wabunge wengi wa chama tawala, wameishia kusema kwa hofu na kushindwa kuweka wazi tatizo lilipo hasa.
Katibu mkuu kiongozi ambaye ni katibu wa baraza la mawaziri alikiri kwa kusema suala la jairo kuchangisha fedha kwa ajili ya kufanikisha bajeti ni suala la kawaida kufanywa na wizara na yeye hajaona kosa loloe katika hilo hili lina maana kuwa kila wizara inafanya hivyo na kwa hali ilivyo wala haliko kwa jairo tu. ila yeye anatolewa kama kondoo wa kafara kwa ajili ya wengine. Na kama kweli tunaipenda nchi hii, basi baraza lote la mawaziri linatakiwa kujiuzuru.
Nina wasi wasi mkubwa na taarifa ya cag kuhusu na suala la udom ambalo aliambiwa alifanyie ukanguzi pia. Kama la jairo limekuwa hivi, inaonekana hata lile la udom alilichakachua na akatoa ripoti inayopendeza matakwa ya waliompa ugali.
Kwa ushauri wangu ingekuwa vema kama baraza lote lingejiuzuru ili kuweka bayana udhaifu uliopo kuliko kutoa kondoo wa kafara.