Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wako wapi mashujaa wa maadili UVCCM? Na Godfrey Dilunga KAMA kuna vijana wenye maadili ndani ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) bila kujali wingi wao bali uzito wa hoja, basi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila CDM kitakachosema (move) inakuwa msimamo wa taifa why? Rais alikuwa JK nyerere watu tunasimama siku nzima kumsuribia, na atakachochoongea inakuwa msimamo wa taifa why? Siwezi kuwa Rais wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF; Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo tarehe 30/11/2011 kinatarajia kutoa msimamo mzito baada ya Rais kusaini muswada wa upatikanaji wa katiba mpya. M/kiti wa CDM Mbowe...
1 Reactions
185 Replies
14K Views
- Safari za nje za Viongozi na Maofisa wetu zimekuwa nyingi mno, ni muhimu tukawa na kipengele maalum katika Katiba kinachofuatilia hizo safari, ninaamini sana kwamba Mikutano mingi wanayokwenda...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Imeandikwa na Mwandishi Maalumu, New York; Tarehe: 29th November 2011 Habari Leo MAANDAMANO yasiyokuwa na ukomo na yasiyozingatia utawala wa sheria, vurugu na fujo zinazofanywa na vijana kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo...
15 Reactions
362 Replies
27K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 nilieshindwa kuendelea na masomo yangu ya sekondari toka mwaka jana, sababu muhimu ikiwa uduni wa maisha katika familia niliyozaliwa huko mkoani Mwanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAKATI Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akimgeuzia kibao Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, imebainika kwamba watuhumiwa wa ufisadi walitumia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A JUBELEE (50yrs) AND DEMOCRACY …………’’AMAZING TANGANYIKA’’………….. Being a Democratic state means you observe its principles and rules, like Multiparty, the rule of Law, Constitution, Equality...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
http://www.chadema.tv CUF wanazidi kuwa wadandia hoja kila kukicha. Katiba wanayoifikiria walishaipeleka leo sijui wanataka nini tena! Wakisikia watu wanataka kuandamana na wao wanatangaza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imeandikwa na Kennedy Kisula, Lindi; Tarehe: 30th November 2011 @ 14:50 MBUNGE wa Lindi Mjini, Salum Barwani (CUF) amesema anatekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010/15 kwa kuwa chama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama cha wananchi cuf kimeiga wazo lililobuniwa na chadema kwenda kumuona rais kujadili sheria iliyotiwa sain ya kuruhusu mabadiliko ya katiba hii inaonesha cdm ina viongozi makini na wenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabodi, nimeona niwawekee kauli ya M/Kiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe akihojiwa na BBC jana jioni kuhusu mazungumzo ya Chadema na rais Jakaya Kikwete. Ili kuwasaidia wasioweza kuifungua...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Saturday, September 17, 2011, 5:56 Dimba, Mtanzania Na Dennis Luambano WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha, ametangaza uamuzi mgumu wa kutengua nafasi za Kamanda wa Polisi wa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Kuna umuhimu wa kuchagua viongozi makini , kwani uongozi wa nchi unahusiana na maisha ya watu na sio jambo la mzaha. Future yetu inategemea sana busara na akili za viongozi wetu. Kiongozi mpumbavu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Speaker makinda na Balozi wa Ujerumani nchini Hon. Clause Peter Blandes walipokutana kufanya mazungumzo ofisini kwa Speaker makinda. Katika kikao kilichopita ambacho kilipitisha rasimu ya sheria...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimepata fursa ya kuzunguka kwenye jimbo laKO,NILIYOYAONA ni Aibu Tupu. Kubwa ambalo ni Tatizo kwao Ni Huduma ya Maji na Umeme,Kama hauna Punda Kupata Maji ni Tabu. Hayo Unayaona au Unaishia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Usanii na tikitaka za CCM na CUF dhidi ya CDM zimeendelea kufuatia uamuzi wa NEC ya CCM kumtaka JK kukutana na vyama vyote vya siasa vyenye uwakilishi Bungeni. Leo CUF wameomba kukutana na JK...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Madhumuni ya kikwete kama anavyosema ni kuhuwisha katiba iliyopo ya 1972 ili iweze kutupeleka miaka 50 ijayo.KATIBA MPYA IPO TAYARI. Hata wabunge wa chadema na nccr wangeongea bungeni hadi...
1 Reactions
3 Replies
946 Views
Wakuu Its has been so long toka nianzishe thread hapa ila nafurahi kuona JF ikizidi kukua na kupata wanachama wengi...Hongereni sana Kilichonikuna leo ni auli ya Hon. Pinda kuwa na yeye ni...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…