MTANZANIA
Askofu msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Methodius Kilaini, amesifu hatua ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Albert Mnali, a kuwachapa viboko walimuu wa shule za msingi za...
Unajua siku za nyuma niliambiwa namwandama sana Salva lakini ukweli ni kuwa hata huko CHADEMA nako kumbe kuna problem ya PR
Hivi who is in charge of Communication and Media huko Chadema?
Chama...
Thu, Dec 1st, 2011
Thu, Dec 1st, 2011 Tanzania
Minister for Constitutional Affairs and Justice Celina Kombani
Members of the public will have an opportunity to express their views on the...
Hakuna cha Mapumziko ya siku 6 na familia yake, hakuna cha kuipenda Tanzania, wala chakutoa misaada..
Huyu bwana kaja kukagua migodi yake kwani sote twajua yeye (BUSH) ndiye mmiliki wa makampuni...
Naheshimu viongozi wangu na siipingi chadema ila kuomba na kukutana na raisi kikwete kulikuwa hakuna maana yoyote kwani hakuna kilichobadilika,mswada umepitishwa na bunge na kusainiwa na raisi...
wana JF,
hebu tujiulize haya masuala yaliyotikisa nchi.nani hasa aliyaanzisha kati ya cuf na chadema na ni nani alidandia na kuteka hoja.
1..suala la katiba mpya
2.muundo wa serikali tatu ndani...
wakuu!!
leo rais mstaafu wa marekani anawasili Tanzania. lakini cha kushangaza ziara hii imekuwa ni siri mno hakuna chombo cha habari hata kimoja kilicho tangaza hii ziara ya huyu muheshimiwa...
Mie mkweche Mzee wa Igangidungu nimetafakari sana na Kujiuliza kwanini Masuala yasiyo ya Muungano hayana Wizara na Waziri wake?!Manake maswala yasiyoya Muungano manake ni ya Tanganyika,Je kwanini...
LEO JIONI JAMAA YANGU YUPO WIZARA YA MAGUFULI KANIAMBIA WAMEKUA OMBAOMBA,
HAWAJAPATA MISHAHARA YA MWEZI NOVEMBER KITU AMBACHO HAKIJAWAHI TOKEA!
nimemwambia pamoja na kutokupata mishahara lakini...
....Tukiwa tumebakiwa na siku 8 kuelekea kwenye kilele cha miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika na kukiwa hakuna dalili njema kwa Taifa hili kujikwamua kutoka katika lindi la umaskini zaidi ya kuzidi...
Wadau
Tafadhalini nawaomba mjadili mchanganuo huu wa kuipata KATIBA MPYA YA WANANCHI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wenye maoni, wayatoe. Wenye kutaka uboreshwe, waboreshe.
Asanteni.
Tanzania ipo ktk mchakato wa kupata katiba mpya,hii ni moja ya fursa kubwa sana kwa mh. J.Kikwete kuandikwa vema zaidi ktk historia ya taifa hili, ikiwa atahakikisha na kuruhusu zoezi zima la...
Hatimae Tanzania imetia saini mkataba wa East Africa community ambao waziri Samwel Sitta alikataa kusaini mpaka vipengele viwili vya ardhi na usalama kupitiwa upya..wamekubaliana hakuna swala la...
Kaya zaidi ya 600 wilayani Meatu katika vijiji vya Makao, Mwangudo na Sungu wametakiwa kuondoka katika maeneo yao halali waliyokuwa wamemilikishwa na serikali ya vijiji hivyo bila fidia na...
Ni ukweli usiopingika Chadema imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye suala la katiba, ingawa mchakato bado uko kwenye hatua za mwanzo lakini jitihada zao zimeonekana hakuna mtu atabisha kuwa bila...
wanajf salaam!
hivi ni kweli kwamba hali ya serikali ni tete kiasi cha kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi mpaka sasa?
nikiwa miongoni mwa wafanyakazi wa umma,nimepata salary slip yapata 4 days...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.