Swali - Juma Nkamia jimboni kwako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali - Juma Nkamia jimboni kwako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Nov 29, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Nimepata fursa ya kuzunguka kwenye jimbo laKO,NILIYOYAONA ni Aibu Tupu.
  Kubwa ambalo ni Tatizo kwao Ni Huduma ya Maji na Umeme,Kama hauna Punda Kupata Maji ni Tabu.
  Hayo Unayaona au Unaishia Kuanzisha mashindano ya mpira wa miguu...tu.Na kutoa zawadi ya Ng'ombe.
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Huwa najiuliza hivi mtu akishakuwa mwanasiasa anapoteza uwezo wake wa kufikiri? Hasa wale wa sisiem
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  chama kwanza wananchi baadae ndo sera yetu kuu wanakijani
   
 4. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Inawezekana
   
 5. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 997
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Tungeweza kubinafsisha siasa tungekuwa na maendeleo sana..
   
 6. F

  FredKavishe Verified User

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hv mnategemea nn kwa mpiga domo juma nkamia'.inabidi before ubunge watu wote wakapimwe akili
   
 7. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  I am very sorry to have to say this:

  I have known Juma Nkamia from late 90's when he was working with Abood TV in Morogoro. During that time, we used to lough with my children whenever he appears on the TV for evening news. He used to struggle to pronounce "Roger Federer". I used to wonder whether he had completed Form IV at all! All of a sudden, I saw him with TBC. How he managed to be there with flimsy CV is a mystery to me.

  His ascendence to become MP was marked by aggressive publicity stunts bordering insanity. Seeking publicity through sports was his preferred tactics. He had a short at seeking leadership through Simba Sports Club and failed. Later on he became a sports commentator with TBC. His greatest weakness was to pretend to know everything in football. His commentating skills becoming an irritation to me (and possibly others) with unregulated pitch narrating events which are non existence (Thanks to TV which all events are seen live). Those listening to radios would have it raw!

  I have tried to search his Form IV passes in vain, but one thing is vividly certain for all to see - the guy is insanely stupid! When he became an MP, I thought what a calamity! But then, he is one of them (kanjanja of a kind) and you can be sure, the press will ignore his stupidity because he is their kind. I always wondered how he would be when he faces the likes of Ngurumo, Ulimwengu and Simbeye.

  Bottom of the line is that the guy is a waste of nation's resources.

  I am sorry for hurting the feelings of some of you out there.
   
 8. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni kweli Kondoa yote iko hoi bin taaban.Sehemu kubwa ya majimbo yote mawili<la Nkamia na la Zabein>maji safi ni msamiati adimu.Kwa watu wanaomiliki punda ndio wenye uhakika wa kupata maji kwa uhakika.Miundo mbinu ya barabara ni kichekesho kingine.Umeme ndio kabisaa!
   
 9. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Kwani alipoomba ubunge alisema atawafanyia nini wapigakura wake? may be aliwapromise kuwaletea punda kwa wingi. Ila mshkaji alipafom vizuri pindi akiwa mtangazaji VOA na baada akiwa mtangazaji BBC. Rejea african cup of nation 2004 Egypt na fainali Ligi ya mabingwa Arsenal vs Baca.
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  warangi hata mitaro wanataka wachimbiwe na mbunge

  kwani hawawezi kuchimba visima?? au hatuelewi maana ya mbunge??

  Mbunge ni mwakilishi wa wananchi dodoma, mtu mwenye kula alawanzi kwa niaba ya wananchi wake:eyebrows:
   
 11. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  mkuu..wanaitwa Valangi..wao na misikiti bila maji
   
 12. Mashilambah

  Mashilambah Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :lol: mkuu uko sahihi kabisa!! we can call him MSUKULE wa sisiem. BOOM!!!
   
 13. k

  katatuu JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Huyu mleta hii maada angekuwa mwungwana kama angemwueleza mhusika moja kwa moja.kupitia humu ni majingu yasiyokuwana na mantiki.kama mtu hana cha kusema alale.
   
 14. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Nilipopita jimbon kwake nia yangu ni kufahamu ujanja wake wa kujifanya anajua kila ki2,je jimbon kwake ameanza na nini?
  Sikuwa na shda ya kutaka kujua amesoma au hajasoma,bali ubunge alionao una tija kwa walio mchagua.
  Jaribu kuwa makini,
   
Loading...