Kwa wenye huruma, upendo, kujali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wenye huruma, upendo, kujali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaga Michael, Dec 1, 2011.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,911
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 nilieshindwa kuendelea na masomo yangu ya sekondari toka mwaka jana, sababu muhimu ikiwa uduni wa maisha katika familia niliyozaliwa huko mkoani Mwanza, nilibahatika kusoma mhula mmoja tu katika shule ya sekondari moja iliyoko Shinyanga yani kidato cha kwanza ckuweza tena kuendelea baada ya wazazi wangu kunieleza kuwa hawatakuwa na uwezo wa kuniendeleza kidato kijacho, nahitaji kusoma sana imani yangu katika maisha ni kupata kwangu elimu, Elimu ambayo itakuwa msaada kwangu, mtoto wako, mdogo wako, ndugu yako na taifa kwa ujumla lakini siwezi tena kupata hyo elimu ndoto zangu znaelekea kugonga mwamba. Nilijaribu sana kufanya vibarua vya hapa na pale lakini kutokana na hali yenyewe ya maisha kwa sasa malipo katika hizo kazi hayakuweza kuzaa matunda, Ombi langu kwenu wanajf nikutaka kama kuna mwenye uwezo wa kunisomesha naomba msaada wake imani yangu katika hli ukinisomesha mimi, nikama umemsomesha mwanao, ndg yako, mdogo wako, n.k. Leo ni kwangu hatujui kwesho ni kwanani? Na kama ntawakwaza kwa kuandika hili humu ndani nisameheni sana hizo bado nijuhudi za kufufua ndoto zangu zinazoelekea kusambaa


  Ahsanteni kwa upendo wenu


  kwa mawasiliano zaidi
  0685234854
   
Loading...