Inefficient leader paralyse the whole nation, The whole country become unproductive and inactive | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inefficient leader paralyse the whole nation, The whole country become unproductive and inactive

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shayu, Nov 30, 2011.

 1. Shayu

  Shayu Platinum Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 180
  Kuna umuhimu wa kuchagua viongozi makini , kwani uongozi wa nchi unahusiana na maisha ya watu na sio jambo la mzaha. Future yetu inategemea sana busara na akili za viongozi wetu. Kiongozi mpumbavu ana hatarisha maisha yake na maisha ya watu anaowaongoza.

  Tuweni makini Tunapojadili mambo ya siasa tusiwe watu wa ushabiki. Tutafakarini na tuchanganueni mambo Kabla ya kuwa wafuasi wa chama fulani au kiongozi fulani. Kiongozi bora ni yule ukikaa nae unajifunza na kuwa Mtu bora.

  Ni wajibu wangu wa kizalendo kuongea kila nipatapo nafasi kwasababu naamini katika umoja. Na nia yangu ni kuona Taifa bora katika Tanzania. Naumia kuona taifa letu liko katika moral collapse inayotokana na uongozi mbovu.

  Tumegawanyika sababu ya ubinafsi wa viongozi wetu lakini tunaweza kulitoa Taifa hapa lilipo kwa watu wenye uzalendo kunyanyuka na kuongea kuhusu utaifa na mwelekeo wetu.

  Tunaweza kujenga upya taifa letu na kuwa na serikali inayotumikia watu wake, inayojiheshimu na inayotafuta kujitegemea. Nimewahi kuongea sana kuhusu mapinduzi yanayofanywa na watu kuleta mabadiliko. Nilisema nchi inajengwa na akili na maarifa ya watu hata kama watu hao wanaishi jangwani. Wanaweza kuleta mabadiliko makubwa mno, Madini hayasaidii sana kama hatuta invest kwenye watu. Kama hatutajenga jamii yenye maadili, wamoja wenye kujitolea. Nataka kila mtu ajue we are in state of moral collapse as the nation and we must Address this issue . In this state society make many laws but they become expert of manipulation of those laws and the end will always be chaos becouse country can not be build on selfishness but unity and mutual sacrifice and trust. Inefficient leader paralyse the whole nation, The whole country become unproductive and inactive.
   
Loading...