Tunahangaikia katiba mpya ambayo imeshatungwa tayari

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,493
54,900
Madhumuni ya kikwete kama anavyosema ni kuhuwisha katiba iliyopo ya 1972 ili iweze kutupeleka miaka 50 ijayo.KATIBA MPYA IPO TAYARI. Hata wabunge wa chadema na nccr wangeongea bungeni hadi wakalia hamna ambacho kingebadilika kwani imeshapangwa itakavyo kuwa. Chadema wamempa ushauri kikwete lakini hajaufuata kwani imeshapangwa itakavyokuwa. Na wananchi hata wakitoa mapendekezo yao hayatafuatwa kwani imeshapangwa itakavyo kuwa. upigaji kura utasimamiwa na NEC ambayo itafanikisha mpango mzima. Mia
 
Huo ndio ukweli, katiba mpya tayari Rais Kikwete anayo mfukoni kwa msaada na faida ya kundi la Benard Kamilius Membe kati ya vikundi mbalimbali vinavyowania urais ndani ya chama hicho.

Kuna kila dalili Tanzania kupata Katiba Mpya za aina mbili tofauti ndani ya miaka 10 toka sasa; Katiba Mpya ya kwanza huenda ikaingizwa na jeshi na lingine baadaye kidogo likaandikwa na wananchi kwa kujinafasi huku wakimtupia nje Kikwete hilo la kwake akaufungie vitumbua.
 
Back
Top Bottom