Chadema walipeleka haya hapa CUF je watapeleka yapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema walipeleka haya hapa CUF je watapeleka yapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtanke, Dec 1, 2011.

 1. M

  Mtanke JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  http://www.chadema.tv

  CUF wanazidi kuwa wadandia hoja kila kukicha. Katiba wanayoifikiria walishaipeleka leo sijui wanataka nini tena! Wakisikia watu wanataka kuandamana na wao wanatangaza maandamano leo wamesikia Ikulu na wao wanataka mbona hawakutoka Bungeni na wao? au posho ndio ziliwabakiza? au Uzanzibar? Maana wanapenda kujadili ya Bara sana hao? Nafikiri wana tabia zile za akina Mama wanaotaka kujadili na kutumia vya Mume tu ila vyake na mshahara wake ni wa kwake mwenyewe haujadiliwi na Mume. Tena naambiwa hata katiba waliyopeleka ilikuwa ni ile iliyokuwa imeandaliwa na ushirikiano wa vyama vya upinzani kabla CUF hawajauvuruga. Anyway ngoja tuone.
   

  Attached Files:

Loading...