Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

My comrade Lowassa, Well nimekuelewa sasa kumbe ile ya kumwingiza Kikwete madarakani ndiyo ilikuwa Plan A ambayo bila shaka umeitumia kujijenga tena umekuwa na mtandao kila sehemu kupitia uwaziri...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mswada wa KUANDIKA katiba mpya ya Tanzania utapatikana ikiwa Lowasa atashinda urais mwaka 2015 kwani ndio mtu pekee ndani ya ccm anayeonekana kuwa na msimamo wa kweli. Kama alivyothibitisha kwa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
28 NOVEMBER 2011Na Peter Mwenda CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimetoa tamko rasmi kuhusu muswada wa sheria ya kuundwa kwa Tume ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu katiba Mpya na kumshauri Rais Jakaya...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Ni ukweli kwamba kwa sasa wanasiasa wengi wanajitahidi kusoma nyakati kwa makini sana to the extent kuna baadhi ambao tumeona wakionekana ni magwanda lakini "ya kijani" na baaadhi wakiwa kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumeona taarifa ya Kurugenzi ya Ikulu kuhusu Rais Jakaya Kikwete kusaini mswada wa mabadiliko ya katiba na wito wake kuhusu wananchi kuendelea kuchangia mswada huo kama wana lakuchangia lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mswada umesainiwa na kuwa sheria na Mh JK,kelele za baadhi ya wanasiasa,wanaharakati,wanasheria na watu mashuhuri kumtaka jk asiusaini zimegonga mwamba. Ktk yaliyomo kwenye taarifa fupi ya ikulu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tue, Nov 29th, 2011 Tue, Nov 29th, 2011| Tanzania Mohamed Raza The process to fill the vacant Uzini Constituency seat in Unguja Island has started after the two rival political parties...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimewaza kuwa ni muhimu na kwa haraka tukaweka bayana kuwa endapo rais Mh. Dr. Jakaya Kikwete ataamua kutokutia saini muswada wa katiba. Basi ijulikane sio unyonge bali ni busara, hekima na...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
The Citizen (Dar es Salaam) Tom Mosoba 28 November 2011 Pundits say next year's internal elections would be yet another stern test for CCM, whose endeavour to project itself as a stable and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haiingii akilini miaka takribani hamsini (50) ya Uhuru bado nchi yetu tunasumbuliwa na matatizo ya ajali za mara kwa mara hasa za barabarani,au ndo mpango maalum umeandaliwa wa kumalizana Watanzania?.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukipitia kwa makini mapendekezo ya CHADEMA kwa Rais, utagundua kwamba yakitekelezwa yatapunguza ‘kasi ya ajabu’ ya kutengeneza katiba mpya, iliyoanzishwa na CCM na washirika wake na kumuongezea...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu habari zenu mimi sio mfuatiliaji sana na masuala ya siasa ila nimekuwa ni mfuatiliaji wa vyombo vya habari ni muda sasa nimekuwa nikisikia haya mambo ya katiba well am sure yeyote ambaye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri wa afya Dr Mponda amesema anashangazwa na prof Mwandosya kukataa kurudi Tanzania na huku alishapata discharge ktk hospital aliyokuwa akitibiwa India! Je ni nini haswa Mwandosya ana...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimetoa tamko rasmi kuhusu muswada wa sheria ya kuundwa kwa Tume ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu katiba Mpya na kumshauri Rais Jakaya Kikwete, kutosaini muswada huo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika chakula cha jioni alichowaandilia wafanyabiashara kutoka mikoa ya Rukwa na Katavi ili wawekeze katika mikoa hiyo. Mh. Pinda alisema yeye ni mmoja wa wawekezaji katika mkoa wa Katavi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
I am a nationalist in its true colours ;however when it comes to constitution I envy the Kenyans.They passed through a worst and violent political crisis and yet they have a produced an excellent...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika sakata la Jairo, gazeti la mwanahalisi lilituonyesha orodha ya watu waliolipwa posho ya Tshs.280,000 kwa siku kwa Mheshimiwa Pinda, Spika wa Bunge, Mama Anna Makinda. Watu walianza kuhoji...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika kuadhimisha miaka 50 Ya Uhuru wa Tanganyika , utawala na uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam umepanga kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete...
1 Reactions
232 Replies
23K Views
U.S. President Obama and predecessors , Bush, Clinton to participate in AIDS talk President Barack Obama">Obama and his immediate predecessors, George W. Bush and Bill Clinton, will join...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
kwanza kabisa ni mshukuru mungu baba kwa kutupa uzima na tumuombe aendelee kuilinda CHADEMA, PILI: Hii katiba inayo tajo kuwa inaundwa upya na Rais anaenda kuteua jopo la wataalamu juu ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom