Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuteua Tume ya kusimamia mchakato wa Katiba (Tume ya Katiba) ambayo itakusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba na hatimaye kuandika rasimu ya Katiba Mpya kabla...
Mpigie simu mbunge wako simu mtake akugawie kidogo fedha za kukusaidia matatizo yako ya hapa na pale. Namba yake unaweza kuipata kwenye Parliament of Tanzania Hasa wale ambao wanaunga mkono...
NOV 28, 2011 04:35 EDT
Creeping from the periphery in Africa's east and west, Islamist militant groups now pose serious security challenges to key countries and potentially even a threat to the...
Wakuu we need to c beyond our nose. Mtambue kuwa JK alipoamua kujilipua na kubeba ajenda ya katiba mpya (baada ya ushauri bila shaka), wapo wahafidhina ndani ya serikali ya CCM na katika chama...
Kuna taarifa kwamba Mukama amekutana na waandishi leo na amerudia tena taarifa yake kuhusu magamba na kuapa kwamba hakuna fisadi aliyesafishwa Dodoma na badala yake magazeti yamekua yakipotosha...
Waziri mkuu ameendela kulalamika kwamba tatizo la uvushaji wa chakula na sukari kwenda nchi za jirani limekuwa kubwa kwa kuwa kuna baadhi ya vigogo ambapo baadhi ni mawaziri wamekuwa wakijihusisha...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinafikiria kupendekeza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa uchaguzi ambao mbunge au diwani akifa au kujiuzulu hakutahitajika uchaguzi mdogo.
Badala yake katika mfumo huo...
Taarifa kutoka ndani ya chama makao makuu zina sema kuwa kumejitokeza mgogoro wa kiuongozi ndani ya chadema kufuatia tofauti za maamuzi katika masuala kadhaa ya kitaifa.kumekuwa na kuvumiliana kwa...
[B]Wana Jf
Mnamo mwaka 2001,CUF ilifanya maandamano makubwa Zanzibar
kwa nia ya dhati ya kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Katika maandamano hayo watu zaidi ya 70 Walipoteza...
Nimetoka kubadili hati yangu ya kusafiria, hali niliyoikuta Uhamiaji siyo ile nilioiacha miaka saba liyopita ambapo tofauti na zamani, wafanyakazi wa uhamiaji wanakusaidia kujaza fomu na...
Wadau:
Kama mmesoma kwa makini sana makala ya Lula wa Ndali Mwananzela katika RAIA MWEMA la leo ukurasa 9, ni dhahiri kabisa kwamba Mswada wa Mchakato wa kubadilisha katiba uliopitishwa na...
Katika kipindi cha Uongozi wa Rais Kikwete kuna matukio kadhaa yaliyotokea na kusababisha minong'ono ,mijadala kwenye vyombo vya haabri na hata sehemu mbalimbali ambapo watu hukaa na...
30 NOVEMBER 2011
Na Esther Macha, Mbeya
WENYEVITI wa NCCR-Mageuzi katika wilaya zote mkoani Mbeya, wamemtaka Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Bw. James Mbatia, kujiuzulu wadhifa wake kwa
madai...
way foward:
INAWEZEKANA MUDA ULIKUWA MDOGO, AU ILIKUWA NI MAPEMA KWA WAJUMBE WA CHADEMA KUWEZA KUTATHMINI USHIRIKISHWAJI WAO KATIKA FOLLOW UP YA MCHAKATO MZIMA.......
LAKINI NI UKWELI KUWA YALE...
Mh. Freeman Mbowe ambae ni mwenyekiti wa chama cha CHADEMA na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Amesema kuwa pamoja na mambo mengi walioishauri serikali hawana mamlaka ya kumzui Rais...
Dar briefs partners why it did not sign EA report
Tuesday, 29 November 2011 22:00
By Zephania Ubwani
The Citizen Reporter
Bujumbura.
Tanzania made frantic efforts yesterday to...
Wengi wamegeuza jambo hili kama la Rais dhini ya CDM. Wengi, hata waliomsifu JK kwa kukutana na CDM, sasa wanailaumu CDM na kusema kuwa JK kapata ushindi. Katika hali ya ukweli, CDM na Rais...
Hii miaka hamsini sio tunasherehekea kwa kucheza ngoma ,kuvaa tisheti,kubeba mabango ya kupongeza ujinga na kujipatia pa diemu, ukiwa kama msomi ni muda wa kuji evaluati usomi wako umetumikaje...
Baada ya chama cha CUF kufanya maridhiano na CCM juu ya uundwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa huko visiwani Zanzibar,chama cha CHADEMA kilikuwa mstari wa mbele kupinga na kubeza maridhiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.