Tafakari - Chukua Hatua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafakari - Chukua Hatua!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FUSO, Dec 1, 2011.

 1. F

  FUSO JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  • Kila CDM kitakachosema (move) inakuwa msimamo wa taifa why?
  • Rais alikuwa JK nyerere watu tunasimama siku nzima kumsuribia, na atakachochoongea inakuwa msimamo wa taifa why?
  • Siwezi kuwa Rais wa nchi wakati nusu ya wananchi hawani support !!
  • Usanii unaweza kuufanya wakati wa uchaguzi tu, baada ya hapo bila ku-deliver unaonekana ze-comedi origino.
  • Chama kikizeeka kinashindwa kudeliver!! kila mtu anakuwa mwenyekiti as if mwenyekiti karestishwa in peace!!
  • Ukiligeuza Bunge la nchi yako kuwa kamati kuu ya chama chako - huo ni mzigo mkuu kwa taifa lako! janga!! kifo!!
  • Unaposhindwa kuchukua maamuzi magumu - eti kutunza siri & mshikamano ndani ya chama chako unafanya kosa kubwa sana la kiutendaji - ni sawa na daktari kubaka mama mjamzito wakati wa kujifungua. (nina uchungu sana)
  • Chama bila vijana ni kama mtoto aliyekosa chanjo - lazima augue polio na pepo punda hatimaye anakuwa na kilema cha maisha.
  • Unapomsafisha kada wako mchafu kwa kigezo eti bila yeye ushindi katika uchaguzi hautapatikana - ni udhaifu mkubwa, ni sawa na baba kuzaa nje ya ndoa au msichana kuamua kuolewa bila baraka za wazazi wake.
  • Unapotumia umasikini wa wapiga kuwa wako - kupata ushindi kwa kigezo hiki katika uchaguzi wa demokrasia ni sawa na mchungaji kumla mwana kondoo wake au muumini wa kanisa kulamba sadaka.
  Tafakari yangu kuelekea 9th Dec - miaka 50 ya taifa langu Tanganyika.
   
Loading...