CUF nayo kukutana na Rais JK

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Usanii na tikitaka za CCM na CUF dhidi ya CDM zimeendelea kufuatia uamuzi wa NEC ya CCM kumtaka JK kukutana na vyama vyote vya siasa vyenye uwakilishi Bungeni.
Leo CUF wameomba kukutana na JK kuhusiana na Katiba mpya.
Hawa CUF si walibaki na wabunge wa CCM, UDP na TLP bungeni wakichangia muswada wa Katiba mpya? Walisahau kitu gani ambacho hawakupewa fursa? Sasa tusubiri CCM, TLP na UDP kuomba kumwona Rais kwa suala lilelile walochangia Bungeni.

Ni mkakati wa CCM na CUF kuzodoa shinikizo la CDM.
 
Back
Top Bottom