CHADEMA imetoa semina elekezi kwa viongozi wake kutoka mikoa 26 ya Tanzania
Dr.Slaa kasema semina ilihusu mambo mengi ikiwemo mchakato wa katiba mpya. Kasema wao ndo wapo karibu na wananchi so...
No longer at ease,hayumkini si shwari tena!na kimya kingi kina mshindo mkuu.Ziara za wamarekani hawa ndani ya nchi yetu zina tija kwetu?Hofu yangu isije kuwa tunauza mgodi mwingine kwa chandarua...
Mtatiro ni naibu katibu mkuu wa CUF ambaye ni kiongozi pekee aliyeamua kuwashauri viongozi wa CUF kubadilika na kufuata misingi ya utawala bora, Mtatilo aliamua kuwashauri wabunge na viongozi wa...
Dear friends,
A constitution making process should be designed such that its result will depict and represent the wishes of the people on the way their society should be ruled or governed...
Watu wanasema kuwa kila kitu ukiwa unafanya lazima kiwe na Malengo, Nimekuwa mdau kidogo wa kuangalia MOVIE za muendelezo. Asilimia nyingi ya hizi movie zinafanikisha kazi za kupendwa lazima awepo...
Habari zilizopo hivi sasa ni kuhusu mji wa TANGA kuwa ndio utakuwa mji wa kwanza kujengwa machinjio rasmi ya NGURUWE? madiwani wote wameshasaini, amebaki MEYA nae hana namna atasaini.Project...
Mzee Malecela kipindi akiwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais alithubutu kutuletea serikali ta Tanganyika akishirikiana na wabunge 55 miongoni mwao Njelu Kasaka na Philip Marmo. Isingekuwa...
Kuna kila dalili zioneshazo Kuwa Watanzania wa Visiwani Hawawapendi Wenzao Watanzania Bara na hili lipo wazi kabisa
kwani huwa wanakuja juu sana likitokeapo jambo litatizalo na huwa wanaonesha...
Katika nchi masikini kama tanzania taifa letu limenunua mitambo ya kuingilia matangazo ya radio,television na simu na pia yenye uwezo wa kukata matangazo yake wakati wowote pale wanapoona hayana...
As Kidatu and Mtera dams falls short of water, why not try this source? Nimepita hapa majuzi nikastaajabu mwenyewe, nimechukua hii video ili niwashirikishe watanganyika wenzangu.
Ndugu zangu natoa ushauri wa bure kwa Wazanzibar wote kukiunga mkono CHADEMA, kwa sababu kuu zifuatazo:-
1. CHADEMA ni chama pekee kilichonyesha msimamo wa kuwa na serikali TATU kilio cha muda...
Written by Hassan10 // 03/12/2011 // Habari // No comments
Zanzibar, nchi kwanza, Katiba mpya baadaye
Posted on December 3, 2011 by zanzibaryetu
Kinachobainika sasa Maalim atahamsisha hoja...
Mimi ni mfanyakazi katika kampuni moja ya kitalii uku ngorongoro.Kwa kipindi sasa nimekua nikifuatilia utendaji wa uyu bwana kuanzia bungeni kwenye uwakilishi wake kwa wananchi mpaka utendaji wake...
Katika kuelekea kilele cha miaka 50 ya Uhuru, hebu tujiulize chama kikuu cha upinzani nchini Chadema kimefanya nini cha msingi kwa taifa la Tanzania ukiondoa maandamono ambayo yameshindwa kuleta...
Hakika kweli Mungu hamwachi mtu wake, hatimae yale maneno mengi na kelele za wizara ya afya leo zimezimwa pale shangingi liliposogelea ndege ya Emirates na huku gari la kubebea wagonjwa kutoka...
Written by amini // 03/12/2011 // Habari // No comments
Hakuna mambo matakatifu yasiogusika kujadiliwa katika katiba
Posted on December 3, 2011 by zanzibaryetu
Katibu Mkuu wa Chama Cha...
wadau nisaidieni eti huyu mkoloni anapewa lini? Hati ya eneo la kigamboni maarufu kama mji mpya wa kisasa aliopewa rais mstafu wa US,Maana kuna tetesi alifanya ziara huko
Naamini ujumbe huu utakufikia.
Kuna vifusi vimerundikwa kwenye barabara ya Malambamawili-Kinyerezi na kwa kipindi hiki cha mvua ni kero kubwa! Jana kuna gari ilikuwa imetereza na kutumbukia...
Mbunge wa ubungo, John Mnyika atakuwa mmoja wa wazungumzaji kwenye mdaharo kuhusu Muungano na Tanzania Tunayoitaka, kesho tarehe 4 disemba katika hotel ya movenpick/serena kuanzia saa 10 na nusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.