Mdahalo kesho: Muungano na Tanzania tunayoitaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo kesho: Muungano na Tanzania tunayoitaka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lua, Dec 3, 2011.

 1. L

  Lua JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa ubungo, John Mnyika atakuwa mmoja wa wazungumzaji kwenye mdaharo kuhusu Muungano na Tanzania Tunayoitaka, kesho tarehe 4 disemba katika hotel ya movenpick/serena kuanzia saa 10 na nusu jioni na kurushwa live na startv kuanzia saa 11 jioni. ofisi ya mbunge ubungo inakualika kujumuika naye. Tafadhali thibitisha kushiriki kwa namba 0715379542. Wazungumzaji wengine ni Muhamed seif khatib (ccm) na Muwakilishi kutoka Tanganyika Law Society (TLS).
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Tanganyika Law Society? hivi kumbe Tanganyika bado ipo! na nani Rais wake?
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  mdahalo?
   
 4. L

  Lua JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kutokana sababu zilizo juu ya uwezo, ukumbi umebadilishwa na utakuwa: JB Belmont Hotel iliyokuwa paradise hotel, jengo la benjamini mkapa (posta mpya)
   
 5. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  hivi kesho ni tarehe nne.
   
 6. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Mswaada ya mabadiliko ya katiba aliosaini juzi Kikweti na kuwa sheria kamili unakataza
  ku-discuss mambo ya Muungano, labda kama ni kuboresha tu huu tulionao. Kwenda
  kinyume adhabu yake ni kifungo cha mwaka 1, faini ya shilingi 5 milioni au vyote kwa
  pamoja. Je waandaaji wa mdahalo huo wanafahamu kuhusu hilo?

  Hiyo ni sheria kandamizi ya 41 aliyotuongezea JK katika katiba yetu. Halafu anajidai
  kwamba UDIKITETA sio hulka yake, kawa danganye huko huko ulikozoea! (Job Ndugai)
   
 7. k

  kicha JF-Expert Member

  #7
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 180
  seif khatibu? alishatuuza sku nyingi huyu sie wazenji
   
 8. only83

  only83 JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Nashukuru kuwa Tanganyika imeanza kutambulika....Tunaitaka Tanganyika yetu....
   
 9. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,716
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  yakhe waishi dunia ipi weye?
  :biggrin:
   
 10. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni lazima irudi tu! watabana weee mwisho wataachia tu Wanyonyaji wakubwa hawa, Makupe hawa!
   
 11. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mzinzi huyo!! Ngoja tuone watafanya nini maana katika nchi hii hakuna sheria inayofuatwa kabisa! Ukiona inafuatwa ujue Wanyonyaji wana maslahi nayo!
   
 12. N

  N series Senior Member

  #12
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tanx kwa taarifa
   
Loading...